BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Juzi nimekutana na X wangu ambae tumeachana miaka mitatu iliyopita baada ya kupata mtu wa kuishi nae.
Jamaa anaeishi nae hana hela wala hajasoma ila mdada kasoma na ana mzigo wa kutosha. Dogo huwa anamind sana yule dada kuwasiliana na mimi.
Ila juzi bwana nimekutana na dada tukaenda tukapiga game safi kabisa. Anasema jamaa anaboa sana utozi mwingi. Kweli mtalaka hatongozwi