monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,621
Noma sana!Inategemea na angle shoga angu, kuna angle mnakutana unakosa ujanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana!Inategemea na angle shoga angu, kuna angle mnakutana unakosa ujanja
Duh! yaani utafikiri kafanya na punda!! Haya huyu mtakatifu wenu, mpaka anakuja kupanulia domo lake humu mna mpya zawadi gani?
Mkuu ndo umeamini hivi karibuni,?Juzi nimekutana na X wangu ambae tumeachana miaka mitatu iliyopita baada ya kupata mtu wa kuishi nae. Jamaa anaeishi nae hana hela wala hajasoma ila mdada kasoma na ana mzigo wa kutosha. Dogo huwa anamind sana yule dada kuwasiliana na mimi. Ila juzi bwana nimekutana na dada tukaenda tukapiga game safi kabisa. Anasema jamaa anaboa sana utozi mwingi. Kweli mtalaka hatongozwi
Una point, lakini hapa nachozungumzia wako wakosaji wawili ila angalia mawe yanarushwa kwa nani?
Juzi nimekutana na X wangu ambae tumeachana miaka mitatu iliyopita baada ya kupata mtu wa kuishi nae. Jamaa anaeishi nae hana hela wala hajasoma ila mdada kasoma na ana mzigo wa kutosha. Dogo huwa anamind sana yule dada kuwasiliana na mimi. Ila juzi bwana nimekutana na dada tukaenda tukapiga game safi kabisa. Anasema jamaa anaboa sana utozi mwingi. Kweli mtalaka hatongozwi
Kabisa, X wanakuwa zaidi ya maharage ya Mbeya. Imebidi niwalime "mute" Xs wawili kwa sababu hizo. Mtu anakuambia nikija mkoani kwako lazima nikuone, tukishaonana sitakubali uniache hivi hivi, tutakumbushia.
...na huyo ni mke halali wa mwanaume mwenzangu. Huwa nawaambia I don't do someone's wife, I have respect for them. Nashukuru hadi hapa "nimeshinda hii vita"
Sili mke wa mtu mimi!!Ah wee nae unazingua...wakijileta wee wagegede tuu mwanawane au unaogopa tego kwenye papuchi zao?
Juzi nimekutana na X wangu ambae tumeachana miaka mitatu iliyopita baada ya kupata mtu wa kuishi nae.
Jamaa anaeishi nae hana hela wala hajasoma ila mdada kasoma na ana mzigo wa kutosha. Dogo huwa anamind sana yule dada kuwasiliana na mimi.
Ila juzi bwana nimekutana na dada tukaenda tukapiga game safi kabisa. Anasema jamaa anaboa sana utozi mwingi. Kweli mtalaka hatongozwi
Huo ndio upendo mkuu hakuna kingine.Dooh!!!! Haya bana.Dear X nakuheshim huko ulipoo.Nikiandika chchote kuhusu ww hapa jukwaan basi ni yale mazur yako tu na si vinginevyo
Aisee Kama kuna kaukwel , maana mm toka nioe nikikutana na ma X Wangu huwa wananilazimisha tukumbushie, sema hua nawapotezea tu kulinda ndoa yanguUnajuwa mtu ulimvulia chupi bwana ukikutana nae kuna feeling unazipata unakumbukia zamani