Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,116
- 54,685
Kila ulifanyalo huwa lina consequence zake ....sasa unachepuka bila kutegemea haya halafu unapanikiMichupuko noma sana!
Kila ulifanyalo huwa lina consequence zake ....sasa unachepuka bila kutegemea haya halafu unapanikiMichupuko noma sana!
Mtu ukitaka kuoa huwa una sababu...usioe bila kuwa na sababu ya msingiKama tabia hii haiwezi kukoma ya kuchepuka. Sifikirii kuoa leo wala kesho
AisehhhhhITS ALWAYS GREENER ON OTHER SIDE
Hahaha hapo sawa.. Lakini Si bora nizaliwe upya uingereza.HAHAHA NILIHISI HII WAKAT NAKUJIBU. RAS SIMBA KATOA OFFER WAHI
UmenenaMtu ukitaka kuoa huwa una sababu...usioe bila kuwa na sababu ya msingi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]Acha uoga bana mwanaume wewe!!!
Mwanamke mmoja ni mama tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]unashindwa kuficha SMS ukipata hela nyingi utaweza kuzificha kweli ??
tatizo lenu nyie hawa wanawake mnawakuza sana....mie mke wangu hawezi kunijia juu. akija juu tuu namwambia mama isiwe tabu chukua chako sepa.[
HAHAHA KAKA UKITAITIWA NA KIDHIBITI MKONONI INABID KUTUMIA BUSARA ZAIDI KULIKO HASIRA, MAANA ATASEPA NA VICHWA VYA HABARI LAZIMA UNG'AE SANA
Wewe ni m.pu.mbav.u, sio tu kwa kuruhusu mkeo ashike simu yako bali kuhangaika na wanawake wengine wakati umeoa! Huyo mke wako uliozeshwa bila ridhaa yako?Niende moja kwa moja kwenye mada, Jamani hii tabia ya sisi wanaume au hata wanaweke walio olewa kuwa na mazoea na jinsia tofauti na mwishowe kupelekea kugegedana sio dili kabisa.
Hii imetokea kwangu kabisa over the weekend zimefumwa sms za kunyegeshana na mtoto bado hajaliwa ila wife kaja juuhadi kupelekea ndoa kuwa mashakani. Nimekoma Wazee
wife anatikisa kiberiti tu hapo,we mwambie simu nilimpa rafiki yangu akawa anawasiliana na girl friend wake!Niende moja kwa moja kwenye mada, Jamani hii tabia ya sisi wanaume au hata wanaweke walio olewa kuwa na mazoea na jinsia tofauti na mwishowe kupelekea kugegedana sio dili kabisa.
Hii imetokea kwangu kabisa over the weekend zimefumwa sms za kunyegeshana na mtoto bado hajaliwa ila wife kaja juuhadi kupelekea ndoa kuwa mashakani. Nimekoma Wazee
Ni wapu.mbav.u pekee ndio hufanya jambo bila kufikiri, hivi kama bado unajiskia kuchepuka kwanini uoe? Si uwe single tu maisha yako yote ili ukidhi haja zako utakavyo?? Kama umeoa kufuata mkumbo wewe ni fala piaKidume lazima kuchepuka