Nimeamini mapenzi Konyo(yanakeraaaaaa)

Kua mvumilivu kijana hivyo ni vitu vidogo saaaaaaana ongeza mbinu uweze kumteka akili yake unaoneka bado hujafanikiwa kwa hilo
 
Huku ndoa huku mapenzi mada n mbili tu[emoji16][emoji16][emoji16]kitaeleweka mwaka huu, ndo Kwanza tupo njanuaree
 
Pole sana. Tafuta mpenzi mwingine. Hali kama hiyo ikifikia, asikudanganye mtu oonh kua sijui ofisini kwangu wafanya kazi hawashiki simu, ooonh endelea kupambana.
Ndugu, kaza moyo, tafuta jarung’ombe jingine. Utaumia ila tafuta, hapo utaumia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…