Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Shida ufupi hupendwi mkuu 🤣🤣🤣Inasikitisha Sana. Mtu akiwa kazini unampigia simu hapokei makusudi.Embu just imagine hata kama ni wewe unafanyiwa hivi ndugu yangu ungejiskiaje.
Unajua kabisa mtu Fulani anakupenda simu yake unaiona inaita alafu badala uipokee ,unaipotezea.Unajua kabisa message hii ya mtu anakupenda badala ujibu unaipotezea.
Of course basi unaweza kusema ubize wa kazi umekufanya uchelewe kupokea simu yangu au kujibu jumbe zangu nikakuelewa.
Lakini Kuna hizi Pumbuz eti zinasema "mimi nikiwa kazini Huwa sishiki simu kabisa" au "Nikiwa kazini Huwa naweka simu kabisa pembeni". Yaani anajitetea ilimradi aonekane kwamba yeye na simu sio marafiki.
Lakini kitu kinachoniuma ni kwamba mtu huyo huyo anayesema kwamba yeye sio rafiki wa simu, sio mtu ambaye anaweza kutumia simu kila mara NDYO huyo huyo anayejibu Kila meseji inayoingia katika simu yake.Kila muda yupo katika mitandao chungunzima anaperuzi tu ,Kila notification inayoingia anataka kuiangalia.
Alafu wewe ukiwa mbali na Mimi unaanza kusema kwamba wewe sio rafiki wa simu, sio mtumiaji mzuri wa simu.Huu ni upumbavu ndugu yangu.
Alafu na nyie mnaopenda kujibu vifupi unatumiwa salamu unajibu "Pw" au "P".Unatumiwa text ndefu badala ujibu unasema "kumbe" "Aisee" nyie akina naniliu nawaambia IPO siku yenu mtalia na kusaga meno.View attachment 2499601
View attachment 2499603
Ukitaka uthibitishe hili, kesho mtumie sms, jifanye umekosea, "Jane Mpenzi, nimeshachukua room namba Tisa hapa Babu Nongwa Lodge, wahi kufika kabla yule shetani hajarudi, waslaam"Lakini Kuna hizi Pumbuz eti zinasema "mimi nikiwa kazini Huwa sishiki simu kabisa" au "Nikiwa kazini Huwa naweka simu kabisa pembeni". Yaani anajitetea ilimradi aonekane kwamba yeye na simu sio marafiki.
Solusheni ni kuacha kupiga na kutuma hiz text mara mojaInasikitisha Sana. Mtu akiwa kazini unampigia simu hapokei makusudi.Embu just imagine hata kama ni wewe unafanyiwa hivi ndugu yangu ungejiskiaje.
Unajua kabisa mtu Fulani anakupenda simu yake unaiona inaita alafu badala uipokee ,unaipotezea.Unajua kabisa message hii ya mtu anakupenda badala ujibu unaipotezea.
Of course basi unaweza kusema ubize wa kazi umekufanya uchelewe kupokea simu yangu au kujibu jumbe zangu nikakuelewa.
Lakini Kuna hizi Pumbuz eti zinasema "mimi nikiwa kazini Huwa sishiki simu kabisa" au "Nikiwa kazini Huwa naweka simu kabisa pembeni". Yaani anajitetea ilimradi aonekane kwamba yeye na simu sio marafiki.
Lakini kitu kinachoniuma ni kwamba mtu huyo huyo anayesema kwamba yeye sio rafiki wa simu, sio mtu ambaye anaweza kutumia simu kila mara NDYO huyo huyo anayejibu Kila meseji inayoingia katika simu yake.Kila muda yupo katika mitandao chungunzima anaperuzi tu ,Kila notification inayoingia anataka kuiangalia.
Alafu wewe ukiwa mbali na Mimi unaanza kusema kwamba wewe sio rafiki wa simu, sio mtumiaji mzuri wa simu.Huu ni upumbavu ndugu yangu.
Alafu na nyie mnaopenda kujibu vifupi unatumiwa salamu unajibu "Pw" au "P".Unatumiwa text ndefu badala ujibu unasema "kumbe" "Aisee" nyie akina naniliu nawaambia IPO siku yenu mtalia na kusaga meno.View attachment 2499601
View attachment 2499603
NakaziaUkiishi kwa kujali hayo utateseka mkuu, never beg for someone attention hasa kwenye mahusiano.
anakuonyesha dharau za wazwazInaumiza,unajitahidi kuvumilia lakini hakupi ushirikiano....anakuonyesha dharau za wazwaz