josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 641
Tangazo la nini mkuu, ITV ni mainstream media inahitaji promotion ya mlalahoi km mimi kweli?Tunakubali ndio tuna low IQ,
Ila ulipie tangazo
Mkuu hizi discussions mbona zipo muda mrefu sana? Kuna nyingne tafiti kabisa ziliwahi kusema wengi wetu ni vichaa, nyingne zikasema hatuna furaha n.k, mimi nimeamua kuhamia upande tu km alivyofanya Haji Manara.Kwamba kwa wachache wale umehitimisha ni watanzania wengi mna low iq?
Hili liko ulimwenguni kote na wajinga hawataisha
...wa low IQ. yaani mmeona heri kujikomba kwa gsm mkaacha kuichangia timu yenu. wajinga kabisa.Tunachojua Yanga bingwa
Mkuu nkisikiliza wale vijana wanavyojibu maswali ya mwandishi, kwanza napata aibu, pili napata hasira, tatu naishia kusikitika. Ni aibu kwa taifa, wasomi wale vijana!Jambo la kusikitisha ni kwamba wapo wengi sana vijana wa aina ile...
Ile video inasikitisha na inauma sana mkuu basi tu. Ukombozi wa kifikra tunauhitaji sana Tanzania.Mkuu nkisikiliza wale vijana wanavyojibu maswali ya mwandishi, kwanza napata aibu, pili napata hasira, tatu naishia kusikitika. Ni aibu kwa taifa, wasomi wale vijana!
Umeongea kwa uchuungu mkubwaNdiyo manaa wanazidi kulamba asali na sisi wala hatujali
Sijui ni upumbavu au ni ujinga wa aina gani huu, au wakifika wanarogwa?Inawezekana vipi mtu mwenye upeo mzuri wa kuwaza kusafirishwa kutoka mkoani kwa fedha zako, uuze mali zako au za mzazi wako, mkalundikwe chumba kimoja watu zaidi ya 20 huko Dar eti kwa ahadi ya kufanikiwa kibiashara.
Kweli kijana mzima wa miaka zaidi ya 24 unalipa milioni 5 hewani kwa mmiliki wa kampuni hewa na hujawahi kumwona na unaamini ipo siku utatoboa huku ukilala chooni?
Hili jambo limeniwazisha sana, wakuu nilifuatlia kipindi cha ripoti maalumu cha ITV ni mambo ya kustaajabisha mno.
Kipindi kipo youtube kwa jina la Ripoti maalumu!
Hapo waliopigwa hela ni wachache sana wengi wao ni kanyaboya ili kuwapumbaza wengine.Ila Kuna wengine hapo ni mwendo wa kuliwa mbususu kama hako kadogo kanaonekana kameliwa wiki nzima kwa mapigo ya kukunjaInawezekana vipi mtu mwenye upeo mzuri wa kuwaza kusafirishwa kutoka mkoani kwa fedha zako, uuze mali zako au za mzazi wako, mkalundikwe chumba kimoja watu zaidi ya 20 huko Dar eti kwa ahadi ya kufanikiwa kibiashara.
Kweli kijana mzima wa miaka zaidi ya 24 unalipa milioni 5 hewani kwa mmiliki wa kampuni hewa na hujawahi kumwona na unaamini ipo siku utatoboa huku ukilala chooni?
Hili jambo limeniwazisha sana, wakuu nilifuatlia kipindi cha ripoti maalumu cha ITV ni mambo ya kustaajabisha mno.
Kipindi kipo youtube kwa jina la Ripoti maalumu!