Nimeamini kuna watu wana akili ya ajabu

Nimeamini kuna watu wana akili ya ajabu

Walla usiwalaumu hao vijana tazama tu wawakilishi wao bungeni.
 
Inawezekana vipi mtu mwenye upeo mzuri wa kuwaza kusafirishwa kutoka mkoani kwa fedha zako, uuze mali zako au za mzazi wako, mkalundikwe chumba kimoja watu zaidi ya 20 huko Dar eti kwa ahadi ya kufanikiwa kibiashara.

Kweli kijana mzima wa miaka zaidi ya 24 unalipa milioni 5 hewani kwa mmiliki wa kampuni hewa na hujawahi kumwona na unaamini ipo siku utatoboa huku ukilala chooni?

Hili jambo limeniwazisha sana, wakuu nilifuatlia kipindi cha ripoti maalumu cha ITV ni mambo ya kustaajabisha mno.

Kipindi kipo youtube kwa jina la Ripoti maalumu!
Unapo sema watanzania wana low IQ una maana gani? Unajumuishaje kundi lote kwa ujinga wa mtu mmoja? wewe kweli sio msomi huna uwezo wa kufikiri unajua kufanya majumuishi ni kukosa upeo yani juma jirani yako ni mwizi basi wakina juma wote ni wezi that is fallacy of generalisation
 
Inawezekana vipi mtu mwenye upeo mzuri wa kuwaza kusafirishwa kutoka mkoani kwa fedha zako, uuze mali zako au za mzazi wako, mkalundikwe chumba kimoja watu zaidi ya 20 huko Dar eti kwa ahadi ya kufanikiwa kibiashara.

Kweli kijana mzima wa miaka zaidi ya 24 unalipa milioni 5 hewani kwa mmiliki wa kampuni hewa na hujawahi kumwona na unaamini ipo siku utatoboa huku ukilala chooni?

Hili jambo limeniwazisha sana, wakuu nilifuatlia kipindi cha ripoti maalumu cha ITV ni mambo ya kustaajabisha mno.

Kipindi kipo youtube kwa jina la Ripoti maalumu!

watanzania wengi hawana akili nenda kwa wachungaji uone wanawake wanavyodanganywa
 
Huku kwetu wanaopigwa na hao Q-net niwatumishi wenye mishahara yao...
 
Tatizo watu wanaona kama utani hivi ukufatilia hiyo report maalum utaagiza kwanza Heineken kwanza ndyo utoe maamuzi.
Sikutaka kuendelea sana ila kweli ukombozi wa kifikra unahitajika.
 
Acha wapigwe tu mpaka akili ziwakae sawa.
watu kama hao wakiombwa laki ndani ya familia hawatoi ,
Ila wakishapigwa ndiyo wanajitokeza kulalamika.
 
Back
Top Bottom