Nimeamini! Huyu Mwanadada Amebarikiwa....!

Bahati anaimba sio utani km hii albam ya dunia haina huruma ukichek na video yake yani movie sio movie yani huwezi choka angalia na kilichopo mi nadhani ni kwa sababu anaimba mambo halisi habahatishi. Mungu azidi kumbariki
 
Kweli, Aujakosea Hata Kidogo
 
ahsante kwa kunikubusha
nlikuwa sijawahi kuusikia huo wimbo dunia haina huruma
nimebahtika kuuona you tube,kweli ana kipaji na nyimbo zake zinaingia kunako roho
Dunia haina huruma - YouTube
 
nahisi mtoa sledi ni poromota wa the so called mwanadada
 
Kama hujabarikiwa utakuwa muislamu
 
Kweli Mkuu Kuanzia Leo Nitakuwa Nafanya Hivyo.

Siku moja nikiwa naitafuta kwenye maduka bila mafanikio hatimaye nilikuta katika duka moja Muuzaji akaniambia dvd imeisha ila anaweza nipatia copy ambayo ina ubora wa hali ya juu sh. 2000. nafsi ilinisuta nikamjibu No. nitasubiri original
 
Mimi si muamini, bahati mbaya mke wangu ni muamini hivyo huwa nalazmika kuskiliza nyimbo nyingi za dini napokuwa nyumbani, huyu dada nyimbo zake nyingi zimekaa kimajungumajungu, zipo chache nazozipeta zina mziki mzito wa taratibu kama rhumba vile, yaani kama unaskliza kanda bongoman, huwa zinanivutia, lakini ujumbe ndani sifuri.
 
Siku moja nikiwa naitafuta kwenye maduka bila mafanikio hatimaye nilikuta katika duka moja Muuzaji akaniambia dvd imeisha ila anaweza nipatia copy ambayo ina ubora wa hali ya juu sh. 2000. nafsi ilinisuta nikamjibu No. nitasubiri original

Hongela Kwa Kuwa Muaminifu, Ubarikiwe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…