mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,106
- Thread starter
-
- #21
hao kina bukuku zilipendwa sasa hivi wapo vijana wanaimba injili balaa hebu tafuta album za NEEMA JEKONIA CHAVALA na ENOCK JONAS halafu njoo utupe ripoti.
...bukuku ni next level...
Promo!!!!!!!!!!!!!
Tatizo uliiba CD
Bukuku yuko juu tangia anaanza hii kazi ya kuhuburi kupitia nyimbo. Album zake zote ninazo, namkubali sana huyu mwanadada
Kweli huyu ni jizi.Kwanini album hiyo hakumuachia kondakta wa dala dala ili iwapo mwenye mali akiitafuta aikute pale.
Aje jo jwani! Bonge la wimbo
Muunge mkono kwa kununua CD na DVD original........
Bukuku yuko juu tangia anaanza hii kazi ya kuhuburi kupitia nyimbo. Album zake zote ninazo, namkubali sana huyu mwanadada
Nyimbo zake zimekaa ki-mipashomipasho.
...uache UTOMASO....
Album mbovu...mm nilisikiliza mara moja tu...na cd nimeigawa.....cha msingi akaimbe tu bongo fleva
hiyo hiyo ulioiba'?Mkuu Kaisikilize Kwanza.