Nimeamini hakika mapenzi yanaua...!

Nimeamini hakika mapenzi yanaua...!

Watu wengine sijui mna matatizo gani? Yaani umemfumania tena akiwa na rafiki yako halafu unakuja hapa kuomba ushauri? Unategemea tukupe ushauri gani? Anyway mpige chini, tafuta mwingine lakini jitahidi ujue ni kwa nini huyo hakuwa mwaminifu kwako. Sababu kubwa inawezekana haujui kuwajibika kunako 6 x 6, kwa maana ya kwamba umekuwa haumfikishi kwenye kilele cha Kilimanjaro.

Jichunguze, halafu chukua hatua.

Tiba

Wala hamna cha kutafuta sababu hapo sijui 6•6"iko wazi nyie wanawake sjui waga mkoje'!!
 
pole sana iyo ndo njia ya kujifunza kuwa strong ktk mahusiano. huyo sio wako
 
Binti niliyemtegemea na kumuamini hata kumsifia mbele ya marafiki zangu, leo kaniumiza baada ya kumfumania na kumsikiliza kupitia dirishani akifurahia tendo la ndoa na rafiki yangu wa karibu sana.
Cha ajabu saivi saivi ananitumia msg akilalamika eti anaomba nimsamehe!!!!
DON'T TRUST A WOMAN & A FRIEND 100%
ushauri wenu wadau ni muhimu sana kwangu.....!

Pole sanaa....wamekuzidi kete bandugu...kama ulikua unamletea usharobaro kwenye tendo la ndoa ndio imekula kwako hyo wenzio wanamtifua ki uhakika !!! Na si ajabu anakudharau sanaaa...mpaka anakuja na kukuomba msamaha ??? Ilibdi aogope hata kukukaribia... Hahaha Better luck next time.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom