nimeamini CBG siyo sayansi


L

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Messages
325
Likes
22
Points
35
L

luofe

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2011
325 22 35
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?
 
Mbrazili

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
652
Likes
9
Points
35
Age
27
Mbrazili

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
652 9 35
Kuna makosa tu yamefanyika hapi
 
J

josey03

Member
Joined
May 3, 2013
Messages
11
Likes
1
Points
5
Age
26
J

josey03

Member
Joined May 3, 2013
11 1 5
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?
Hata mi nashangaa coz nna 3 ya PCB af hawajanipanga, nimeshindwa kuwaelewa kabisa
 
Kimetah

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
1,033
Likes
36
Points
145
Kimetah

Kimetah

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
1,033 36 145
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?
unapata elimu ya uraia g.s F sa JKT unataka ukafate nini??ha ha a haa relax mkuu c wote wenye div izo wamechaguliwa,may b kunaawamu ya 3
 
Kimetah

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
1,033
Likes
36
Points
145
Kimetah

Kimetah

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
1,033 36 145
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?

wakati unasoma mwalimu ako alikwambia CBG ni art o scienc,?usifanye suluhu kwa kufikiria sababu chache
 
Kimetah

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
1,033
Likes
36
Points
145
Kimetah

Kimetah

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
1,033 36 145
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?
inabidi ufikirie vifuatavyo,mana JKT huendi kucheza segere na huwa hawabahatishi kwenye kuchagua
1.shule ulosoma
2.tabia yako
3.umefeli g.s
4.physical fitness
 
S

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
1,451
Likes
832
Points
280
Age
27
S

spleen

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
1,451 832 280
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?
ukafanye nini JKT na F yako ya GS,Utawezaje kulijenga taifa wakati hata somo la utaifa wako tu umefeli
 
M

Mipale Steve

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
387
Likes
2
Points
0
M

Mipale Steve

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
387 2 0
Hebu toa upumbav hapa kwan umeambiwa ni wote wamepangwa? Subr awamu ya 3
 
tereweni

tereweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
552
Likes
258
Points
80
Age
28
tereweni

tereweni

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
552 258 80
Gs imekuangusha F aisee subiri labda second selection ya jkt

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Brodre

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,124
Likes
451
Points
180
Brodre

Brodre

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,124 451 180
Simple mathematics zinawashinda sidhani kama list imekamilika wanahtaj wanafunz 10849 mpaka sahv kuna majina ya wanafunz 10018 inamaana bado kuna list watatoa
 
J

josey03

Member
Joined
May 3, 2013
Messages
11
Likes
1
Points
5
Age
26
J

josey03

Member
Joined May 3, 2013
11 1 5
Simple mathematics zinawashinda sidhani kama list imekamilika wanahtaj wanafunz 10849 mpaka sahv kuna majina ya wanafunz 10018 inamaana bado kuna list watatoa
Duhh! You are a great thinker, i never thought of that one:rolleyes::p:rolleyes::p:rolleyes:
 
M

Mipale Steve

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
387
Likes
2
Points
0
M

Mipale Steve

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
387 2 0
Hata mi nashangaa coz nna 3 ya PCB af hawajanipanga, nimeshindwa kuwaelewa kabisa
hebu toa uongo hapa nmimi ninachojua mwaka huu TO ana div1 ya point 4 sasa wewe cjui hyo yako umetolea wapi?
 
pemgtoonet.com

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
514
Likes
254
Points
60
pemgtoonet.com

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
514 254 60
kama cbg sio sayansi ni nini?
 
saadmad

saadmad

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
475
Likes
108
Points
60
saadmad

saadmad

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2011
475 108 60
Du kweli dunia inabadilika enzi zile watu walikuwa wanatoroka JKT siku hizi watu wanalilia kwenda?
hahahahahaha... uone jinsi maisha yanavyo washikisha adabu ma sharobaro
 
E

environmental

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
1,054
Likes
3
Points
133
E

environmental

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
1,054 3 133
Nina rafiki yangu alipata ABA POINT NNE CBG 1995 AKANYIMWA KUSOMA MEDICINE SABABU YA PHYSICS
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,648