Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,436
- 8,856
Tutasikia mengiSiku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.
Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala na vijana wawili ambao sikuwatambua ila inaonesha walikuwa pamoja na wale wabunge.
Kijana mmoja kati ya wale alikuwa anaongea wazi wazi bila kupepesa macho kuwa Rais ajaye ni Membe, cha ajabu hakuna mheshimiwa aliyepinga zaidi walitaka afunguke zaidi.
Jamaa akasema mengi na mwisho akasema upo mkakati unao ratibiwa na mtu aliyemwita "BABU" na lengo ni kumwingiza Rais chaka kupitia ushauri, kijana akasema hilo lilifanyika hata awamu ya JPM ila ndani ya miezi 3 JPM alihisi kuna kitu hakipo sawa kuanzia pale akawa anawauliza watu wachache sana issue zinazo hitaji ushauri.
Kijana alisema jambo kama hilo liliratibiwa vizuri baada ya JPM kufariki na mrithi wake ameingia mtegoni na kamwe hawezi kunasuka, na 2025 Rais ni Membe (alisema kijana yule)
Mimi Bei Elekezi nakuwaga mjanja kwenye mbinu za kunasa watoto wazuri na ni Genius wa kuwafikisha kileleni ila mambo ya siasa huwa sifuatilii sana maana mwisho wa siku najua jukumu langu ni kutafuta pesa kwaajili ya ustawi wa familia yangu na fedha kidogo ya kuhonga mademu.
Hivyo sikutilia sana maanani mambo ya yule kijana nikahisi labda amelewa au ni chambo labda anataka kusikia watu watasemaje ila nikawaza kuwa wale wahenga waliosema lisemwalo lipo walimaanisha nini?
Baki kwenye fani yako hiyoSiku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.
Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala na vijana wawili ambao sikuwatambua ila inaonesha walikuwa pamoja na wale wabunge.
Kijana mmoja kati ya wale alikuwa anaongea wazi wazi bila kupepesa macho kuwa Rais ajaye ni Membe, cha ajabu hakuna mheshimiwa aliyepinga zaidi walitaka afunguke zaidi.
Jamaa akasema mengi na mwisho akasema upo mkakati unao ratibiwa na mtu aliyemwita "BABU" na lengo ni kumwingiza Rais chaka kupitia ushauri, kijana akasema hilo lilifanyika hata awamu ya JPM ila ndani ya miezi 3 JPM alihisi kuna kitu hakipo sawa kuanzia pale akawa anawauliza watu wachache sana issue zinazo hitaji ushauri.
Kijana alisema jambo kama hilo liliratibiwa vizuri baada ya JPM kufariki na mrithi wake ameingia mtegoni na kamwe hawezi kunasuka, na 2025 Rais ni Membe (alisema kijana yule)
Mimi Bei Elekezi nakuwaga mjanja kwenye mbinu za kunasa watoto wazuri na ni Genius wa kuwafikisha kileleni ila mambo ya siasa huwa sifuatilii sana maana mwisho wa siku najua jukumu langu ni kutafuta pesa kwaajili ya ustawi wa familia yangu na fedha kidogo ya kuhonga mademu.
Hivyo sikutilia sana maanani mambo ya yule kijana nikahisi labda amelewa au ni chambo labda anataka kusikia watu watasemaje ila nikawaza kuwa wale wahenga waliosema lisemwalo lipo walimaanisha nini?
2025 President ni Ruksa junior MZ alikua anamkubali kichiz alitamani awe VP bahatimbaya bimkubwa akamzidi keteBaki kwenye fani yako hiyo
Mwisho, ulipata mademu hapo ulipoenda?Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.
Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala na vijana wawili ambao sikuwatambua ila inaonesha walikuwa pamoja na wale wabunge.
Kijana mmoja kati ya wale alikuwa anaongea wazi wazi bila kupepesa macho kuwa Rais ajaye ni Membe, cha ajabu hakuna mheshimiwa aliyepinga zaidi walitaka afunguke zaidi.
Jamaa akasema mengi na mwisho akasema upo mkakati unao ratibiwa na mtu aliyemwita "BABU" na lengo ni kumwingiza Rais chaka kupitia ushauri, kijana akasema hilo lilifanyika hata awamu ya JPM ila ndani ya miezi 3 JPM alihisi kuna kitu hakipo sawa kuanzia pale akawa anawauliza watu wachache sana issue zinazo hitaji ushauri.
Kijana alisema jambo kama hilo liliratibiwa vizuri baada ya JPM kufariki na mrithi wake ameingia mtegoni na kamwe hawezi kunasuka, na 2025 Rais ni Membe (alisema kijana yule)
Mimi Bei Elekezi nakuwaga mjanja kwenye mbinu za kunasa watoto wazuri na ni Genius wa kuwafikisha kileleni ila mambo ya siasa huwa sifuatilii sana maana mwisho wa siku najua jukumu langu ni kutafuta pesa kwaajili ya ustawi wa familia yangu na fedha kidogo ya kuhonga mademu.
Hivyo sikutilia sana maanani mambo ya yule kijana nikahisi labda amelewa au ni chambo labda anataka kusikia watu watasemaje ila nikawaza kuwa wale wahenga waliosema lisemwalo lipo walimaanisha nini?
πππPale nilienda kula nipate nguvu ya kutafuta mademu.Mwisho, ulipata mademu hapo ulipoenda?
Kazi na Bata ππSiku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.
Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala na vijana wawili ambao sikuwatambua ila inaonesha walikuwa pamoja na wale wabunge.
Kijana mmoja kati ya wale alikuwa anaongea wazi wazi bila kupepesa macho kuwa Rais ajaye ni Membe, cha ajabu hakuna mheshimiwa aliyepinga zaidi walitaka afunguke zaidi.
Jamaa akasema mengi na mwisho akasema upo mkakati unao ratibiwa na mtu aliyemwita "BABU" na lengo ni kumwingiza Rais chaka kupitia ushauri, kijana akasema hilo lilifanyika hata awamu ya JPM ila ndani ya miezi 3 JPM alihisi kuna kitu hakipo sawa kuanzia pale akawa anawauliza watu wachache sana issue zinazo hitaji ushauri.
Kijana alisema jambo kama hilo liliratibiwa vizuri baada ya JPM kufariki na mrithi wake ameingia mtegoni na kamwe hawezi kunasuka, na 2025 Rais ni Membe (alisema kijana yule)
Mimi Bei Elekezi nakuwaga mjanja kwenye mbinu za kunasa watoto wazuri na ni Genius wa kuwafikisha kileleni ila mambo ya siasa huwa sifuatilii sana maana mwisho wa siku najua jukumu langu ni kutafuta pesa kwaajili ya ustawi wa familia yangu na fedha kidogo ya kuhonga mademu.
Hivyo sikutilia sana maanani mambo ya yule kijana nikahisi labda amelewa au ni chambo labda anataka kusikia watu watasemaje ila nikawaza kuwa wale wahenga waliosema lisemwalo lipo walimaanisha nini?
Acha ujinga. Kumbuka wewe ni mtu mzimaSiku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.