Nimeambiwa nirithi mke wa kakaangu

Kwetu hii mambo bado ipo na watu bado wanarithishana wake sana tu...
 
Kweti hii tabia haipo. Usifanye hivo bhana wanawake ni wengi mwambieni azae nje ila watoto mumuhesabu kama wa kaka yenu hio ndio iko powa
Mkuu mi mwenyewe nimemuelewa huyu shem wangu,
Acha nimuoe bhanaa, liwalo na liwe
 
Kutongoza nacho kipaji. Naona mzee umeokota mdodo chini ya mkaratusi
 
Kwetu pia ipo sema Kurithi mke ni mara chache ila kurithi watoto ni lazima, Mke utaamua wewe
 
Mbona umekubal kurith kirahis sana..au shemej ana chura mkubwa
 
Mana cjaona hata dalili ya Ku resist kaka.na ww unaishije huna demu????by the way ungekaza hizo Mila za zaman azifny kaz.kumbe wachag mko ivo du
Mkuu mtoto mzuri huyu, shem anaita snaaa.
 
Hakikisha mnacheki afya kabla Ya yote Hata kama kaka yako kafa kifo cha kawaida au kwa ajali, nakutakia kila laheli kaka
 
Je kaka yako akifufuka ghafla Utasema nini? Si unajuwa mapenzi yana umiza.
 
Ndio nasubiri kusikia atawajibu vipi akina mama.

Japo hakuwahi nishuhudia na tabia zangu za kihuni, nilikuwa namficha sana.

Kiufupi hatujawahi gombana, nilikuwa nikija kwa broh lazima nilete mapochopocho.
Aliniambia nitakuja kuwa baba mzuri

Mkuu ulimdere shemeji ako eeeh..haya sasa kazi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…