Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Nilinenepaga snaa first yrs chuo..maana nilikua mwembamba sana nilipotoka six

Hapo nna boom 100%....deile ni kitimoto na ugali..mim na demu wangu..tukajikuta tuna vitambi wote in less than 2months
 
Ora dingi, hupendwi hapo, utajibadilishaje ili ukubalike dingile? Be yourself
 
Mama Terry acha kuniwazia mabaya mimi ni mwanadamu mwenzio ujue
hahahah mwambie bibie akikupa amani ya roho tu utanenepa bila hata kula utanawiriiii,. afu mwambie sisi mama zake tulioana na baba zake wakiwa kama ukuni sasa hiv wamenawiri kwa kupata chakula cha mwili na rohoo
 
Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.

Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lakini vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.

Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi

Nawasilisha

UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.

Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee.
Pamoja na ushauri uliopatiwa na wadau usisahau kumwambia aondoe hofu ya kimbunga kwasabu kwa sasa hali ni shwari (kimeyeyuka). Kazi iendelee
 
Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.

Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lakini vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.

Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi

Nawasilisha

UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.

Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee.
😀😀😀😀polee
 
Mkuu, hata ahangaike nayo haya yote uliyo mshauri na akapata majibu chanya, ndoa haipo.
Na kama huyo jamaa ana mwili kama wa Polepole wa ccm hata alale na hivyo vyakula kitandani hanenepi ng'o.
Awaachie tu waoaji wamuoe huyo kisukunuku
Polepole kanenepa haswa sio utani
Mtoe kwenye list kabisa
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Kuna watu hawanenepi hata wale vp...

Zaidi, utashangaa kitambi kinajaa tu.
 
Back
Top Bottom