Junior Tata
Member
- Oct 18, 2015
- 18
- 2
naomba mnisaidie, mwaka jana nilichaguliwa kujiunga na chuo fulan hapa tz(SUA) kutokana na matatzo ya kiafya nilienda nikasajiriwa badae nikaomba kuahirisha nikakubaliwa nikarud kwenye matibabu. mwaka huu ndo ilitakiwa niende lakn mpaka muda huu afya yang haijakaa sawa, naomba kuulza
1. nisipoenda mwaka huu mwakani nikienda ntakubaliwa au itabid niombe upya tcu
2. nikienda kutoa taarfa ntaruhusiwa kuahirisha tena
1. nisipoenda mwaka huu mwakani nikienda ntakubaliwa au itabid niombe upya tcu
2. nikienda kutoa taarfa ntaruhusiwa kuahirisha tena