holyhunter
Member
- Feb 3, 2017
- 54
- 111
Habari zenu wakuu. Mimi nilichaguliwa mwaka jana kusoma kozi ya diploma, ila kutokana na matatzo ya hapa na pale sikuweza kusoma. Je, naweza omba tena mwaka huu nikachaguliwa bila shida yoyote.? au inakuwaje wakuu. Nisaidie tafadhali.