Nimeagiza Huawei P30 Pro, nasikia Google hawatatoa updates, nifanyeje?

Leo nimeumia Sana baada ya kusikia habari hizi maana natumia Huawei P9 hakika hizi series za P ni simu zenye akili mno.

Ngoja tusubiri tuone mchina atafanyaje
 
Kinachofanya os kuTake over ni developers wa apps ndio wanaofanya os inakimbiliwa na users na makampuni na kuwa popular.

Huawei kuimplement os yao ni vigumu endapo hakuna external pressure , kutokana Android ilishakuwa mteremko. Sasa hapa kinachotokea ndio force yenyewe ya hao kuamua Os yao ama vipi.

Aamue aje kivingine na open source yake ili naye awakamate wale wanaopenda vitu unique. Nakushawishi makampuni ya kichina kutumia os yake.
 
Ni wivu tu...

Ila issue Is not about keep functioning. What if tomorrow Trump decides to put Samsung or Xiaomi on that black list? As users, consumers and customers we need to know you're looking for us, not for that crazy man craziness

Kwa hiyo uki cancell hiyo order, vipi kesho wakifungia product nyingine? Au ipi unauhakika haina mgogoro na marekani? We subiri P30 yako wakati huo ukijifunza kichina mdogomdogo kwani wachina wamejitamba watalunch operating system zao, sasa sijui zitakuwa kwa lugha ya kichina au la.
Hii ya huawei ni obvious risk, iko wazi hiyo ya samsung until then, so we wont talk about unconfirmed future events but this Huawei saga has been confirmed before our own very eyes.
 
Kinachofanya os kuTake over ni developers wa apps ndio wanaofanya os inakimbiliwa na users na makampuni na kuwa popular.

Huawei kuimplement os yao ni vigumu endapo hakuna external pressure , kutokana Android ilishakuwa mteremko. Sasa hapa kinachotokea ndio force yenyewe ya hao kuamua Os yao ama vipi.

Aamue aje kivingine na open source yake ili naye awakamate wale wanaopenda vitu unique. Nakushawishi makampuni ya kichina kutumia os yake.
Kwanza hiyo os yao hadi ije izoeleke si balaa?

Soko kubwa bado limeshikiliwa na Android na Ios. Kazi ipo.
 
Mkuu google ana control kwenye android yenye playstore ila kuna android ambayo ni open source isiyo na playstore inaitwa Aosp hii kila mtu anaweza itumia anvyotaka yeye.

Sema Tatizo la Huawei hawa unlock bootloader zao hapa ndio simu haitaweza kuwekwa aosp rom yoyote ya maana.

Wanaweza kwenda aosp way na kuziweka simu zao open watu wataflash wenyewe hizo playstore.

Ila kwenye hardware itakuwa pigo kubwa sana kwao.
Kwa nini hawaunlock hiyo bootlooder yao mkuu?
 
Kwa nini hawaunlock hiyo bootlooder yao mkuu?
Uki unlock bootloader mtumiaji anakuwa na uhuru zaidi wa kuweka software anayoitaka na developers pia wanakuwa huru.

Hili ni tatizo kwa watengeneza simu maana watumiaji wanatoa software ambazo mtengeneza simu ameweka na kuweka za kwao hivyo watengeneza simu wanakosa mapato.
 
Kwa hiyo hawa jamaa hawatapata tabu kuibuka na os yao ya simu?

Shida ni nini sasa?

Kwa nini ile Cos ilishindwa kufanya vyema?
Zipo fork android kibao china mkuu, sidhani kama os ni tatizo sana. Na kuna Aosp based rom kama lineage. Alibaba wana AliOs ina user base kubwa tu.

Hio Cos ni nini?
 
Zipo fork android kibao china mkuu, sidhani kama os ni tatizo sana. Na kuna Aosp based rom kama lineage. Alibaba wana AliOs ina user base kubwa tu.

Hio Cos ni nini?
Cos inaitwa china operating system.

Mkuu Chief, huoni Huawei yatawakuta ya ZTE? Walianza hivi hivi wakapigwa zengwe Marekani wakafilisika, huawei itasimama kweli?
 
Huyu ni wivu tu wa wamarekani. Huwawei imezikimbiza sana kampuni za kimarekani sasa wameitafutia sababu kisa sio ya kimarekani. China wana OS inayotumika kwenye shughuli za kiserikali kwa kompyuta za kawaida ila za kwenye simu ndio sio sana. Lakini Huawei lovers wanaweza kiusaidia kimapinduzi kama Huawei watakubali challenge na kuanza kujipanga upya chini kwa chini huku wakiendelea Ku negotiate taratibu. Sakata la Zte na Huawei linawafungua macho wanateknolojia wengine na kuanza kujipanga underground ampapo itakuja kugeuka kuwa pigo kubwa kwa marekani siku zijazo. Kwa vyovyote waathirika wataanza kufikiri upya wakiongozwa na kinyongo na hasira. Ilishawahi kutokea kwa China na ndio chanzo cha maendeleo yalitopo.
 
Poleni wahanga karibuni OPPO kampuni timamu , huawei ni wezi ndo maana GOOGLE wameshindwa kufanya kazi nao ,sababu kuu ni figisu nyingi.
 
Nasisi wenye hivi vifaha tutaathirika na lolote??
20190521_174740.jpeg
 
Alafu huawei walijua hili litakuja kutokea walishatengeneza Operating System (OS) yao kitambo wakaiweka pending tu sasa wataanza kuiachia soon

Wakiiachia hakuna ataeitaka, kilichomuua nokia ni OS yke
Na Windows japo ni kampuni kubwa ila OS ya cm ilimshinda pia, jua2 icho ndo kifo cha Huawei japo hamtak kukubal ukwel
 
Back
Top Bottom