Huyu ndio yule jirani nini? Mzee wa Aslay
Hahahahabest umeanza tena vurugu za usiku
Mkuu, haki mi nawewe tunagundu, mi mwenyewe leo mkeka WA mapenzi umechanika...View attachment 707742
nijidanganye kua nipo sawa??hahahaJinyonge hahahah
Ama tafuta demu mkali zaidi yake
Muwekee kwa dp whatsap
Andika maneno ya kumsifia huyo mpya
hhahahahaha
Ukiachwa shukuru Mungu, kama unakunywaga soda kunja nne kunywa zako
Tafakari kwann umeachwa
Mwisho mshukuru Mungu wako maisha yasonge
Pole na usijali utampata mwingineI'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
Mkuu, haki mi nawewe tunagundu, mi mwenyewe leo mkeka WA mapenzi umechanika...View attachment 707742
Soma vzr bwananijidanganye kua nipo sawa??hahaha
Braza huyo ex wako ulimsaveMkuu, haki mi nawewe tunagundu, mi mwenyewe leo mkeka WA mapenzi umechanika...View attachment 707742
Ngoja nisikilizie kama leo tena Asley atahusika, wimbo usipopigwa nitajua ndo yeye na ameshasoma maujanja mliyompa janaHahahaha
Ukute ndio mwenyewe, yamesha mshinda, halaf umempa bonge ya ushari
Duuh! Mbona unaonekana tukio la mwenzio kuachwa wewe umelifurahia?Jinyonge hahahah
Ama tafuta demu mkali zaidi yake
Muwekee kwa dp whatsap
Andika maneno ya kumsifia huyo mpya
hhahahahaha
Ukiachwa shukuru Mungu, kama unakunywaga soda kunja nne kunywa zako
Tafakari kwann umeachwa
Mwisho mshukuru Mungu wako maisha yasonge
Huo ni mtazamo wako Mkuu, wapi ulipoona nmefurahi ama umesoma nusu na robo, soma hadi mwisho uone kama sijamshauri halaf pia sio lazima wote tuwe na wazo mojaDuuh! Mbona unaonekana tukio la mwenzio kuachwa wewe umelifurahia?
Hahaa!
Ulichonifanya Mungu anakuona,,nimefurahi kukuona tenaDuuh! Mbona unaonekana tukio la mwenzio kuachwa wewe umelifurahia?
Hahaa!
Yani huyo lazima kapata bby mwingine. Poleni mwaya ila na nyie muumie kidogo huwa mnatuumiza sana.Mkuu, haki mi nawewe tunagundu, mi mwenyewe leo mkeka WA mapenzi umechanika...View attachment 707742
We mskilizie baadaye ulete mrejeshoNgoja nisikilizie kama leo tena Asley atahusika, wimbo usipopigwa nitajua ndo yeye na ameshasoma maujanja mliyompa jana
Skuwa na maana mbaya but umeanza kwa kucheka umecheka twice kwenye msg yako mi nikajua ni kicheko cha kufurahi, sku jua kama ulicheka kwa kusikitika au kwa kulia au whatever.Huo ni mtazamo wako Mkuu, wapi ulipoona nmefurahi ama umesoma nusu na robo, soma hadi mwisho uone kama sijamshauri halaf pia sio lazima wote tuwe na wazo moja
Mama Sabrina!Ulichonifanya Mungu anakuona,,nimefurahi kukuona tena
Umenitesa wewe