Nimeachwa tena

Heading inaonyesha unaachwa mara kwa mara...itakuwa una nyota ya kuachwa dada...jitafakari
 
Aisee huyu alikua na sababu zake tuuu, msubilie miezi miwili akiwa na msimamo huo huo jiondokee tu hana mpango na wewe..
 
Reactions: Ok9
huyo alishakuchoka. Alikuwa anakutafutia sababu tu. Kuna chombo kipya tayari kimechukua nafasi yako. Na wewe tafuta ustaarabu mwingine.

Asingekupata kwenye sababu hiyo ya funguo basi ipo siku angekuacha kwa kupumua tu, kiufupi huna chako kwake.
 
Inawezekana ni mwendelezo wa dharau hii ni stori ya upande mmoja .
-Inawezekana mtoto aliachwa kwa jirani Tena usiku kisa arusi
-Inawezekana machale yamemcheza tu mtu na mke wake bwana
.Wewe umeoa?
ndio uache mke kisa asiende kwenye harus..i huu ni ubabe wa kifala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…