nimeachwa njia panda..........

mjini hapa maisha magumu! ulitaka ule na bajeti yake ya jioni? kakushtukia!
 
Rudi tu kwako, maana harudi tena huyo!
 
Hahahahaha! Leo lazima nilale mbavu zinauma.
 
maisha magumu unga robo halafu kashtukia mgeni mwenyewe unavizia lunch time tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…