Hapana, sijawahi kuwasema vibaya single motherMatatizo yake tujiandae kupopolewa singlemoms wa jf....twafwaa🙆
Asee pole sana dada kidotiMimi tabia ya unafiki sinaga kwakweli nikisikia au kuona mwanaume ameachwa huwa nafurahi sana. kuna mtoto wa mwanamke mwenzangu uliniachaga na kunipiga tukio moja takatifu yaani mbwa yule popote alipo naomba awe anaachwa kila siku.