Jamani dunia ina mambo,kumbe mbuzipori nae ni ishu nowdays?nilikubali kubadili dini(mwanamke hana dini) ili nifunge ndoa na nmpendae ila nilimweka wazi kuwa kitimoto ctaweza mweka mdomoni mwangu,matokeo yake wazazi wake wakapinga ndoa yetu...........wakilazimisha uwepo wa kitimoto ktk maisha yangu.Nilipokataa nikapigwa chiniii
Mwanamke Hana dini? Kila mtu atabeba mzigo wake