habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

mnafanana dini?Niko hApa nafanya MASTERS ni-inbox number yake nijuwekee mambo xawa!!!!!!
Pole sana kaka. Kwa yaliyotokea mshukuru Mungu huwezi jua amekuepishia na nini. Na huwezi jua pengine amekuandalia wa kwako ndo maana hayo yametokea.
Pili usiangalie sana gharama, angalia utu wako, pesa inatafutwa mzee, ni aibu kwa mwanume kumtake care mwanamke afu mkiachana kudai gharama ulizomhudumia, haiji kabisa. Fanya km vile uliingia kwenye biashara fulani afu ukapata hasara.
Jipe muda, time heals, you will get the RIGHT PERSON for you.
udai kwani mliwekeana mkataba kuwa malipo ya fedha ulizompa ni kwa ajili ya yeye kubaki na wewe milele?
Wee ulitaka ndoa ya furaha ama fedha na muda wako?
Chunguza kwanza priority yako ni ipi ndio uje ushauriwe.
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.
asidai kisa yeye mwanaume!? wacheni zenu mwana huyu lazima alipe tuu asilete zake hapa ...mganyie kitu mbaya hatakusahau....wanajidai wajanja sana hawa...ndio maana nafagilia sana mijamaa inayomega na kusepa ndio dawa yao hawa