Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,239
- 1,884
Andika kuna mbwa mkali hapa
Baada ya miaka mitatu au mitano mbele watakuja watatoa hicho kibao cha "kuna mbwa mkali hapa" na kuandika "KARIBUNI TUNAUZA BARAFU".
Andika kuna mbwa mkali hapa
tuma picha kwanza tumuone sio tuhangaike kutoa ushauri kumbe demu mwenyewe sura kama cherehani mbovu
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ