X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,720
- 14,850
Njoo kwangu niko singo!
Njoo kwangu niko singo!
unataka kumbemenda mtoto wa watu nimekushtukia
unataka kumbemenda mtoto wa watu nimekushtukia
Mtu akitoka, mwingine anaingia.
Mtu akishuka, mwingine anapanda.
Mtu akisimama, mwingine anakaa.
Fanyiakazi hizo maneno, na usipende kukuna palipo acha kuwasha....
.........acha utani nicje nikazama mzima mzima afu na wewe ukanibwaga
unataka kumbemenda mtoto wa watu nimekushtukia
Mkuu yaan wewe zama tu na mikono na miguu na roho yako bila kusahau viatu na nguo!
Chukua atua mapema kabla haujajinyonga.
......nakuja niwekee nafasi