Maamuzi yako ni sahihi wewe ni Kama mimi sipendi vita na mwanamke kabisa ni kumuacha na kuangalia maisha mengine unaweza shikwa hasira ukafanya kitu kibaya sana
Acha utoto mzee, kipimo kikubwa cha uanaume na kuweza kuishi na mwanamke.Muulize baba yako, uliza wanaume mambo wanayopitia, hapo kwako sijaona issue yoyote ya maana.Ishi na MWANAMKE kwa akili...mjue mkeo na ujinga wake..then endeleeni na maisha..
Kuna huyo wako anakupigia makelele, kuna wenzako mwanamke ananuna wiki nzima..mdomo unavimba hatari...na mzigo hupati...wanaume tunajua namna ya kuhandle hawa mama zetu
RUDI KWA MKEO, MPIGIE SIMU, MJALI KWA HALI ALIYINAYO....AS long as hachepuki, hakudhuru wewe binafsi etc haiba haja ya kuachana..
Pia inaonekana na wewe unaongea sana, mnajibizana sana..hakuna mwenye maneno machache....jishushe..nyamaza vingine, usitake kupata majibu kwa kila kitu..wanawake wana mood sana..
Kila la kheri
Pole sana kwa kweli ila hii tabia toka zamani au ni katika hali hii ya ujauzito? Kuna kitu kimoja huwa nasema mke akiwa na amani na mume anakuwa na amani na family kwa ujumla, Mke ndio kila kitu katika mahusiano anaweza kujenda na anaweza kubomoa. Huwezi kufanikiwa katika kazi zako ukiwa na mwanamke hakupi amani nyumbani kiwango chako cha uzalishaji kazini kitapungua tu ulichofanya sawa mpe space siku aelewe kuwa kwanini umeamua hivyo. Kwa wanawake nawashauri dawa ya Mume hata kama kakosea ukiwa mpole na muelewa nakuhakikishia unajenda uimara wa ndoa yako mume hata aende wapi atakupa heshima. Tabia ni kila kitu.
Naomba nikupe uzoefu wangu..Siku ya kwanza nimeenda na shemeji y'ako kupima mimba.Baada ya majibu Dr alichonieleza ..sasa unatakiwa kuwa mwanamme kamili..wanawake wakiwa wajawazito huwa na tabia za ajabu ..usikasirike we jua ni kwa sababu ya ujauzito..na kweli yalitokea mengi ya kukwaza ila niliyavumilia..
Nachoweza kukushauri mpende mkeo ...na subiri baada ya kujifungua utaona mabadiliko..
Mimba Zina shida sana..nilishawahi kuamshwa saa Tisa usiku nikatafute chipsi...na Binti analia kabisaaa
Ila sio mrefu sanaNajikutaga bingwa wa kusoma nyuzi ndefu, hakika leo bingwa umeniweza!
Kama hii imekushinda basi zile za DeepPond huziwezi au za Robert HerielNajikutaga bingwa wa kusoma nyuzi ndefu, hakika leo bingwa umeniweza!
Tuachane na mambo ya kuoaKipi kifanyike sasa mkuu
Zile Ni Cha mtoto kabisa,tatizo bingwa hajaweka nukta Wala mkatoKama hii imekushinda basi zile za DeepPond huziwezi au za Robert Heriel
Sio mrefu Ila una tatizo la kiuandishiIla sio mrefu sana
kabisa mkuu mwanaume kutaka ligi na mwanamke ni kujitafutia matatizoUkitaka mdumu na mwanamke bhasi jifunze kukaa KIMYA yeye akiwa anaropokaa yani jifanye humsikii alafu hata kama unamjibu sio yote lazima umjibu.. mwanamke wangu nilimwambia wewe ukiweza ongea usiku mzima ila USINITUKANE WALA KUNIVUNJIA HESHIMA. So ni asili yao kumind hata vitu visivyo na maana na kuongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo yalivyo kingine usipende kushirikisha ndugu zako au zake kwenye matatizo yenu acha yeye akayapeleke huko.
Pole Sana Kaka. Nasikitika anayopitia mwanao aliyeko tumboni. Anachopitia mama kina effect sana kwenye makuzi ya Mwanao tumboni na hata atakapozaliwa.Asantee mkuu
Yeah nikweli mkuu nampenda wife ila acha iwe tu hayo maisha siwez moyo umeshagoma
Kuhusu shemeji haiwez kutokea mkuu
Mimba imekua kama sehemu ya kujiendekezea ili kutimiza mambo ambayo wazazi hawajakufanyia kwenu [emoji23]eti homoni
Homoni gani bwanaa homoni zina react mwilini sio zinatuma udongo sijui pweza...