Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Rasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu imenikasirisha

So nimeamua kumpa talaka papo hapo nimeamua kuwatafuta ma internship hawa wanaofanya kazi kwenye hospital ya froedtert hospital hapa maddison Wisconsin

Mke wangu alikuwa anasoma chuo kikuu cha Wisconsin university, Milwaukee na mimi nafanya kazi hapa foedtert hospital hapa Wisconsin# nitaishi vipi na mke mburula hivi ambaye anapata GPA below 4.5 hivi kiuhalisia unapataje GPA below 4.5? Si ataniletea watoto mburula na majuha huyu?

Mkunga wa Jadi
Kwasasa, potosi street house number 3600,Madison Wisconsin.
 
Rasmi leo nimeamua kuachan na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu imenikasirisha so nimeamua kumpa taraka papo hapo nimeamua kuwatafuta ma internship hawa wanaofanya kazi kwenye hospital ya froedtert hospital hapa maddison Wisconsin

Mke wangu alikuwa anasoma chuo kikuu cha Wisconsin university, Milwaukee na mimi nafanya kazi hapa foedtert hospital hapa Wisconsin# nitaishi vp na mke mburula hivi ambaye anapata GPA below 4.5 hivi kiuhalisia unapataje GPA below 4.5? Si ataniletea watoto mburula na majuha huyu?

You are useless like letter "k" in the word knife.
 
MUMEO ATAKUWA NA KAZI SANA. HALAFU UJE ULALAMIKE WANAUME WABAYA AU HUPATI MUME.
 
20250829_214345.jpg
 
Pole
MUMEO ATAKUWA NA KAZI SANA. HALAFU UJE ULALAMIKE WANAUME WABAYA AU HUPATI MUME. KUMBE NA SISI WANAUME TUNAANGALIA WANAWAKE WENYE AKILI
,Naona maisha ya Buza kwa Rulenge yanakupagawisha sana nitumie mpesa yako nikutumie pesa kupitia western union ukale na mumeo
 
Rasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu imenikasirisha

So nimeamua kumpa talaka papo hapo nimeamua kuwatafuta ma internship hawa wanaofanya kazi kwenye hospital ya froedtert hospital hapa maddison Wisconsin

Mke wangu alikuwa anasoma chuo kikuu cha Wisconsin university, Milwaukee na mimi nafanya kazi hapa foedtert hospital hapa Wisconsin# nitaishi vipi na mke mburula hivi ambaye anapata GPA below 4.5 hivi kiuhalisia unapataje GPA below 4.5? Si ataniletea watoto mburula na majuha huyu?

Mkunga wa Jadi
Kwasasa, potosi street house number 3600,Madison Wisconsin.
Mkuu naomba nitangulize samahani Sina lengo la kukukosea heshima ila kinachoonekana hapo kupitia hayo maelezo yako ni kwamba wewe umejaliwa elimu lakini umekosa akili ilipaswa utafute mwanamke mwenye akili hata kama hana elimu angekusaidia sana

Unaweza usinielewe Kwa Sasa ila ukipata maana halisi kati ya ELIMU na AKILI naamini utanielewa
 
Back
Top Bottom