Nimeacha rasmi kushabikia Manchester United

Uisahau pia ndio timu yenye madeni makubwa kuliko timu zote

Top 10 clubs by debt

1. Manchester United - €536m

2. Benfica - €336m

3. Inter - €306m

4. Valencia - €285m

5. QPR - €279m

6. AC Milan - €249m

7. CSKA Moscow - €224m

8. Galatasaray - €222m

9. Juventus - €209m

10. Roma - €208m

1. deni la man u ni la mmiliki wa man u na sio la timu ya man u hivyo kesho akiondoka glazzer anaondoka na deni lake.

2. Hata likiwa ni deni la man u, thamani ya Man u ni kubwa sana zaidi ya mara 6 ya hilo deni, hivyo halina.madhara kabisa hilo deni. kama hufahamu thamani ya man u ni $3.69 billion,

hivyo unachosema wewe ni kama unamcheka bakhresa anadaiwa bilioni 100 wakati thamani ya bakhresa ni trilioni 1.
 
Sjui kama ntaweza kushabikia team ingine coz suala kushabikia Man utd lilitokeaga automatically kpnd nmekuw nikajua moja mbil tatu kuhusu mpira, kiukwel sikuwah kufundishwa kushabikia Man utd,
 
Ukitaka kuhama hama kimyakimya kwani ulipoanza kushabikia man u ulimtangazia nani na hao man city ni timu ndogo kama Leicester city tu
 
Glory Hunter :D :D :D

Yaani hizi fikra za jamaa sijui nizitafsiri vipi. Eti kisa MU kafungwa na huddersfield :D hao hudders, waliifunga MU, walipocheza na Arse walifungwa ngapi kwanza? Kisha Arse ilipocheza na MU ilitundikwa ngap? Mpira duara..... Hata kama tukishuka daraja kwa misimu mia mfululizo, nitabaki kuipenda MU..... na hasa hasa SAF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom