Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kwani Mancity ina washabiki Nayo hapa Tz?
Anyway Bwamdogo Mpira ni Era....
Na hiyo Man City ikiisha Era Yake Sijui utakimbilia Wapi?
Unadhani Yuko aliyeamini Kuwa Era ya AC MILAN itakwisha? Lakini huenda Ukawa huijui Ac Milan zaidi ya hii iliyopo...

wa kuotea mbali. Hawa ni sawa na psg barcelona na madrid. Itawachukuwa muda mrefu kurudi kwenye reli. Mnapita wanakopita Ac Milan, Liverpool, na hata Aseno.