Pombe gni mnakunywa mpka mnashindwa kupiga hatua kwenye maisha?Mimi nilifanikiwa kuacha pombe dec 2024 mpaka hii leo sijawah kugusa pombe,imenisaidia kupiga hatua sana kwenye maisha,
Nakutakia mafanikio katika mipango yako
Watu wanapenda sanaa kuipa pombe lawama zsizo na msingi[emoji17]Pombe gni mnakunywa mpka mnashindwa kupiga hatua kwenye maisha?
Apo tatzo sio pombe tatzo ni wewe unapokunywa pombe.
Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Usimuamini mtu asiyekunywa pombe hata kidogo.
Pombe na umalaya ni maji na tope, haviachani, mars nyingi mlevi akishabugia pombe plan inspotea, badget haina nafasi, masmuzi yske ni hapo kwa hapo. Ikiwa wewe siimnywaji usikubali kuoa/ kuolewa na mnywaji, hutokua na fursha kwenye ndos, zaidi utakuws na majuto kwenye mahusisno yenu.Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Walevi sikubzote wanajifariji kuwa mtu asiekunywa huwa ni malaya na mnafiki, sio kweli hata maramoja. Mlevi anashindwa akili na kuku , kuku anajua mda wa kuingis bandani, na mlevi akirudi nyumbani saa saba usiku na kukuta watoto wamelala atauliza mbona mmelala mapema? Mlevi ni mpuuzi mmoja tuKwanini mkuu?
Kabisa wakiwa na vichwa panzi wanasingizia pombeWatu wanapenda sanaa kuipa pombe lawama zsizo na msingi[emoji17]
Bby we ndo mama lao nakuja niandalie supu leo nakutoa out kufidia janaKila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
AhaaaLinapokuja suala la kuingia mwaka mwngne kila mtu anataka ache kila shda lakn kutimiza sasa[emoji23][emoji119]
KabisaMuache dada aite tu.
Hakuamua kuishi na mbwa ila alikuja kama paka kumbe jibwa.
HahahaNipo nae hapa kalewa anakumbuka misiba ya kwao anaanza kulia
Yes alivyokuja na gia pale mwanzo mwanzo km casual drinker bia mbili wine nusu tu eti anabakiza! Sa hivi akikosa pesa k vant kubwa anaiangusha mwenyewe mi namcheki!Na huenda jamaa ndio akawa sababu ya dada kumuita MBWA
ya ndoa yana mengi.
Hongera! Kama mbwa ameweza kukuzalisha watoto.Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Duh Mbwa tena!Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Niuzie kambwa kadogo ka kikeKila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!