Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,307 Dec 31, 2023 #21 Nice
passion_amo1 JF-Expert Member Joined Dec 3, 2023 Posts 1,828 Reaction score 3,932 Dec 31, 2023 #22 ERoni said: Tafuta jina lingine, siamini uliamua kuishi na mbwa. Click to expand... Muache dada aite tu. Hakuamua kuishi na mbwa ila alikuja kama paka kumbe jibwa.
ERoni said: Tafuta jina lingine, siamini uliamua kuishi na mbwa. Click to expand... Muache dada aite tu. Hakuamua kuishi na mbwa ila alikuja kama paka kumbe jibwa.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,608 Reaction score 119,768 Dec 31, 2023 #23 passion_amo1 said: Muache dada aite tu. Hakuamua kuishi na mbwa ila alikuja kama paka kumbe jibwa. Click to expand... Huenda huyo dada ndio sababu ya jamaa kuwa mbwa, ya ndoa ni mengi sana mkuu.
passion_amo1 said: Muache dada aite tu. Hakuamua kuishi na mbwa ila alikuja kama paka kumbe jibwa. Click to expand... Huenda huyo dada ndio sababu ya jamaa kuwa mbwa, ya ndoa ni mengi sana mkuu.
passion_amo1 JF-Expert Member Joined Dec 3, 2023 Posts 1,828 Reaction score 3,932 Dec 31, 2023 #24 ERoni said: Huenda huyo dada ndio sababu ya jamaa kuwa mbwa, ya ndoa ni mengi sana mkuu. Click to expand... Na huenda jamaa ndio akawa sababu ya dada kumuita MBWA ya ndoa yana mengi.
ERoni said: Huenda huyo dada ndio sababu ya jamaa kuwa mbwa, ya ndoa ni mengi sana mkuu. Click to expand... Na huenda jamaa ndio akawa sababu ya dada kumuita MBWA ya ndoa yana mengi.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,608 Reaction score 119,768 Dec 31, 2023 #25 passion_amo1 said: Na huenda jamaa ndio akawa sababu ya dada kumuita MBWA ya ndoa yana mengi. Click to expand... Hakika mkuu, upo sahihi 💯
passion_amo1 said: Na huenda jamaa ndio akawa sababu ya dada kumuita MBWA ya ndoa yana mengi. Click to expand... Hakika mkuu, upo sahihi 💯
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,252 Reaction score 69,829 Dec 31, 2023 #26 Utakunywa Nini
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 20,598 Reaction score 44,425 Dec 31, 2023 #27 Si ajabu upo rombo hapo na kina Shirima, Kimario, Kessy na Meku wanakuaga kwenye chama wakikutakia maisha mema.
Si ajabu upo rombo hapo na kina Shirima, Kimario, Kessy na Meku wanakuaga kwenye chama wakikutakia maisha mema.
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,519 Reaction score 6,153 Dec 31, 2023 #28 Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand... Mbwa anayekupa utamu na aliyekuzalisha hivyo vimbwa vitatu au sio? 😀😀
Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand... Mbwa anayekupa utamu na aliyekuzalisha hivyo vimbwa vitatu au sio? 😀😀
Ze_Papirii JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 585 Reaction score 1,155 Dec 31, 2023 #29 Vishu Mtata said: Si ajabu upo rombo hapo na kina Shirima, Kimario, Kessy na Meku wanakuaga kwenye chama wakikutakia maisha mema. Click to expand... km yupo na hyo timu hawezi chomoa huyo
Vishu Mtata said: Si ajabu upo rombo hapo na kina Shirima, Kimario, Kessy na Meku wanakuaga kwenye chama wakikutakia maisha mema. Click to expand... km yupo na hyo timu hawezi chomoa huyo
R Road Traffic Signal JF-Expert Member Joined Mar 17, 2022 Posts 621 Reaction score 1,963 Dec 31, 2023 #30 Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand... Nipo nae hapa kalewa anakumbuka misiba ya kwao anaanza kulia
Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand... Nipo nae hapa kalewa anakumbuka misiba ya kwao anaanza kulia
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 Dec 31, 2023 #31 Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand... Sasa ulitaka uambatane na mbwa
Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand... Sasa ulitaka uambatane na mbwa
danhoport JF-Expert Member Joined May 20, 2020 Posts 2,099 Reaction score 4,802 Dec 31, 2023 #32 Mbona mapema sana?
T Top gear JF-Expert Member Joined Sep 18, 2023 Posts 1,435 Reaction score 3,997 Dec 31, 2023 #33 ERoni said: Tafuta jina lingine, siamini uliamua kuishi na mbwa. Click to expand... Familia ya mambwa hii mkuu(Jamaa Ni mbwa dume na mke ni mbwa jike.)
ERoni said: Tafuta jina lingine, siamini uliamua kuishi na mbwa. Click to expand... Familia ya mambwa hii mkuu(Jamaa Ni mbwa dume na mke ni mbwa jike.)
Jugado JF-Expert Member Joined Oct 28, 2021 Posts 1,446 Reaction score 3,192 Dec 31, 2023 #34 Tupo pamoja mkuu japo Mimi kufika march nisharudi ila this time natoboa mpaka December
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,479 Dec 31, 2023 #35 MissM4C said: Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga. Nanyi pia nawaombea Click to expand... Sio kweli mkuu, pumzika joto la januari lipite tukutane liquor stores.
MissM4C said: Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga. Nanyi pia nawaombea Click to expand... Sio kweli mkuu, pumzika joto la januari lipite tukutane liquor stores.
-ArkadHill JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 1,669 Reaction score 2,798 Dec 31, 2023 #36 Mwasibu sasa umesaliti chama. Nakuhakikishia stress zitakutoa horo.
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,434 Reaction score 17,204 Dec 31, 2023 #37 Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand...
Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand...
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,434 Reaction score 17,204 Dec 31, 2023 #38 Sawaa
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 979 Reaction score 1,834 Jan 1, 2024 #39 MissM4C said: Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga. Nanyi pia nawaombea Click to expand... umewezaje mkuu?
MissM4C said: Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga. Nanyi pia nawaombea Click to expand... umewezaje mkuu?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,871 Reaction score 132,347 Jan 1, 2024 #40 Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand... Kwa majibu hayo mimi usingeniona kbisa, ungeniona tu wakati wa kupeana mimba then nasepa.
Magdalene_joseph said: Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto! Click to expand... Kwa majibu hayo mimi usingeniona kbisa, ungeniona tu wakati wa kupeana mimba then nasepa.