Nimeacha Pombe 31/12/2023

Mwaka wangu uwa unabadilika sambamba na mwaka wa fedha 🀭
July 2024 mimi ndio new year 😝😝

Acha pombe Miss, ila usiache mvinyo kwa ajili ya tumbo lako.
 
Natamani kujua mbinu uliyotumia kuacha pombe, maana mimi kila nikijaribu kuacha napumzika wiki moja narudia tena

Karibu Chamani 😜

πŸ₯‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…