Nimeacha game kwa sababu anataka nisivae kondomu

Nimeacha game kwa sababu anataka nisivae kondomu

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Huyu demu bwana ndo Mara ya kwanza kukutana naye.

Katika chatting za kuweza kuhamasishana ili aje Leo NIMGEGEDE, akadai kuwa huwa hafurahii kabisa anapogegendwa na CO.NDO.M

aisee nikamwambia mbona kwangu itakuwa ngumu?

Akasema Kama siwezi peku peku basi nijikatae. Basi bwana pamoja na kasumba zangu nimejikataa.


Swali. Je?

A. NIMEWAANGUSHA wanaume wenzangu?

B. NIMEKWENDA sawia?
 
Duh mkuu hivi inawezekana iyo kitu kumbe basi dawa ni kuvaa elment tu hapa wala aina jinsi mana dunia ya sasa haifai tena kuishi ni bora uende nyuma ya dunia
ata mkipima vaa helmet usiamini majibu ya daktari mtu ni wewe mwenyewe labda je kapata juz utajuaje
 
Naomba unisaidie namba yake nikusaidie nimshauri kuwa hiyo tabia ya peku si nzuri mkuu.
 
Hakuwa na mvuto ndio maana umechomoka kirahisi, kuna sehemu mwanaume ndio anakataa kondom maana unaona kabisa hii ni dhambi kutafuna utamu huu ktk mfuko wa nailoni.
 
Back
Top Bottom