Nime-trade $200 nikapata $4000

Nasubir

Masha jr na Max [emoji2][emoji2]
 
Jifunze fanya kazi mwenyewe achana na vya bure shauri yako.....Kiukweli ushalizwa mjomba
 
Sasa ume trade wewe au wametrade wao? Hizo dola 200 ulizowatumia hesabu umehonga. Maana hutazipata, na ukizipata rudi utupe mrejesho.

Hao hawana tofauti na safecryptofx, eti $1,000 ya ku upgrade akaunt yako. Wizi mtupu
 
Jifunze fanya kazi mwenyewe achana na vya bure shauri yako.....Kiukweli ushalizwa mjomba
Me nakomaa mwenyewe ingawa kuna kupanda na kushuka kuwin sana na kupoteza kabisa pesa yako hivyo vyote napitia but kuna siku zaja zitakuwa za vicheko pasipo maumivu
 
Halafu wanatangukliza wadada wakariz sana na magari ya kifahari.
 
Kwa nini wa Tanzania mnapenda mteremko sana?
 
Ukiwa mtu wa Slope lazima Hawa jamaa watakupata tu

Ova
 
Fanya kazi Hakuna hela ya bure
 
Unatrade crpto wengi ni matapeli ungeniuliza broker kam xm,jp,tempelr ningekujibu hao sijui
Ndugu vipi kuhusu Binary Option , waweza kunitajia wawili au watatu ambao ni reliable maana ndo nataka nifungue Real Account baada ya kupiga DEMO ya ExpertOption kwa miezi 7 hivi, ila hawa ExpertOption wananipa wasiwasi maana hawakubali matrader kutoka nchi zenye STRICT regulations.
 
hujui hesabu
Nifunndishe mwalimu, inawezekana sijui kama sijui. Ila ninachojua hiyo ni demo wala sikuweka umakini katika usahihi sasa ikiwa mwalimu umeona kosa sahihisha.
 
Kumbe vijana mna hela,nyie ndio mnaofanya hela iwe ngumu uku mtaani,iyo hela dola mia 600 ni sawa na milioni moja na laki mbili kama sikosei,sasa iyo hela ungelinunua hata maembe,karanga ama mitumba na kuwapa vijana wenzako wakuzungushie jioni usingekosa japo elfu kumi faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…