Wapigie simu admission
Zipo hapo hapo kwenye page ya ku log in
Ndio nini hii.enx much
Andika vizuri.enx much
Hahaha kazingua sana.Ndio nini hii.
Ndio nini hii.
Shida sio kuwapigia ila hadi waje wampokelee simu yake duh ajipangeWapigie simu admission
Shida sio kuwapigia ila hadi waje wampokelee simu yake duh ajipange
Jamaa niliona post yako baada ya kusahau password uliyotumia kuomba usajili wa chuonime wa pigia wame pokea na shukuru nime zijua tena password,lakini niliyo ya kuta kwenye account yangu siamni kabsa hadi diploma na ambiwa niombe third round na shindwa kuelewa wana angalia vigezo gani na kozi zilizo baki hakuna pendwa kwangu
kama hakuna kozi unazopenda kaa nyumbani mpk mwakani bodaboda zipo tutanunua tutakuajiri uendeshenime wa pigia wame pokea na shukuru nime zijua tena password,lakini niliyo ya kuta kwenye account yangu siamni kabsa hadi diploma na ambiwa niombe third round na shindwa kuelewa wana angalia vigezo gani na kozi zilizo baki hakuna pendwa kwangu
Jamaa niliona post yako baada ya kusahau password uliyotumia kuomba usajili wa chuo
Je walikupa njia gan ya namna ya kuirudisha au walikutumia wenyewe