Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Aug 12, 2013 #1 Habari wapendwa. Nime renew line ya Tigo baada ya awali kupotea, niliambiwa nitarudishwa hewani baada ya masaa ma4 lakini mpaka sasa yamepita masaa kumi haijawa hewani. Msaada tafadhali. kwa anaeweza kunisaidia. Natanguliza shukrani ya dhati.
Habari wapendwa. Nime renew line ya Tigo baada ya awali kupotea, niliambiwa nitarudishwa hewani baada ya masaa ma4 lakini mpaka sasa yamepita masaa kumi haijawa hewani. Msaada tafadhali. kwa anaeweza kunisaidia. Natanguliza shukrani ya dhati.
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,280 Aug 12, 2013 #2 Bora yako mimi niliambiwaga masaa 24
BinMgen JF-Expert Member Joined Jun 18, 2008 Posts 1,868 Reaction score 308 Aug 12, 2013 #3 Kawaida 24hrs