Nime-overdose Msaada wakuu

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Habari jf doctor nimekunywa dawa siku ya pili leo dawa ni za malaria mseto zile za kunywa kimoja asubuh kimoja jioni sasa leo muda huu nimejisahau nimekunywa viwili badala ya kimoja naombeni ushauri nifanyeje kuepuka madhara yatakayotokea

159056318736411754006108001704.jpg
 
Habari jf doctor nimekunywa dawa siku ya pili leo dawa ni za malaria mseto zile za kunywa kimoja asubuh kimoja jioni sasa leo muda huu nimejisahau nimekunywa viwili badala ya kimoja naombeni ushauri nifanyeje kuepuka madhara yatayotokeaView attachment 1460559
Pole. Kunywa maji mengi au juise. Hamna madhara makubwa labda kichwa kuuma . Nadhani jioni usinywe endelea kesho na mzunguko wa dawa. Kuwa makini mkuu ingekuwa dawa ya pressure ungepata big side effects
 
assante mkuu na kichwa kinauma kweli kwahiyo haina haja ya kunywa maziwa kwa hii hari?
 
assante mkuu na kichwa kinauma kweli kwahiyo haina haja ya kunywa maziwa kwa hii hari?
Haina haja ya maziwa . Hydrate mwili na maji na vimiminika kama juisi ya machungwa fresh au ukwaju chochote kilicho rahisi kutengeneza kwako.
 
Back
Top Bottom