huyu ndiye radhia sweety
Hahahaaaa..... "Hakuna njaa mbaya kama njaa ya BAN" Source: charminglady
Hahahaaaa..... "Hakuna njaa mbaya kama njaa ya BAN" Source: charminglady
Ni kweli hapo ni sawa na mtu na akili zako timamu unalalamika mtaani eti unahamu na kela wakati unajua fika ukitaka kwenda jela iba, tukana, baka, nenda kituoni kanye au lewa thn nenda PC. Sasa huyu kelele zote za nini afunguke tu afulumushe tusi kimya kimya apate vyake
Huyu ni Tonykp ninayemjua mimi?!?!?:shock: