Hahah kwhyo mkuu unatak kunambia niongeze idadiKwa umri ulionao,ni idadi ndogo sana.
Sawa mkuuNakushauri tulia mkuu,mtafute wa kutulia nae...wengi tumepitia huko..
eti eeh ila sina tatzoOnly 18 bitches and you are 29? Very sad utakuwa na tatizo au mdomo wako ni mzito kutongoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvyo unakosea mkuu ndomana nikaomba ushauriIvi zipo kichwani sawa kwelii ,,,endelea mpaka ufie juu ya kifua cha mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuriNakushauri tulia mkuu,mtafute wa kutulia nae...wengi tumepitia huko..
Watu tumefikisha 150 .Tangia nimepevuka idadi nliyodate nayo ni wasichana kumi na nane na umri wangu ni 29yrs now,,, ko naombeni ushauri wenu wenye experience zenu...niongeze idadi ama inatosha? Nitafute wang wa maisha....plz seriouz!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ivi zipo kichwani sawa kwelii ,,,endelea mpaka ufie juu ya kifua cha mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app