Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,578
- 1,817
[h=5]Ilikuwa ni kanisani, Padre akawa anafungisha ndoa akasema; "Kama kuna yeyote mwenye Pingamizi lolote na ndoa hii atoke mbele hawakuona mtu! Aliporudia kwa mara ya pili kua, "Yeyote mwenye pingamizi la aina yoyote ile na ndoa hii atoke mbele!
Mara ghafla wakaona mtu mzima wa makamo, kwa kifupi mzee akitokea nyuma ya kanisa na kuja mbele Altareni walipo maharusi pamoja na Paroko! Wakati akija Bi. Harusi akajua kwa namna yoyote ile piga ua huyu mzee atakua ananifahamu fika!
Kama pingamizi lake sio la uongo ama kusingiziwa atakua ananifahamu tangu nakua na yule mzee alipofika mbele tu Bibi harusi akazimia!
Padre akamwuliza; "Karibu mzee na nin pingamizi lako juu ya ndoa hii?
Mzee akajibu; "Kule nyuma nilikua sisikii na ndio maana nimeamua kuja huku mbele....[/h]