Nime chunguza nikagundua..

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,080
Kizazi cha mwaka 1990 kushuka chini kilipenda kueka [HASHTAG]#Vitanda[/HASHTAG] karibu na madirisha ili waweze kuona mwezi na nyota wakati wa usiku...;)

Kizazi cha mwaka 1991 mpk sasa 2017 utasikia kina mwambia fundi "we fundi nataka kitanda changu kiwe karibu na socketi ya kuchajia simu" wakuchati mpaka usiku wa manane.:p:p mpo.
 
Unazungumzia Vitanda vya zege au?
Manake nnavyojua vitanda vya zege ndio huwa havihamishiki, ila hivi vingine vinahama engo yoyote unayotaka kwahiyo unaposema umwambie fundi atengeze kiwe karibu na socket sijakuelewa... Au unamaanisha fundi umeme ndo aweke socket karibu na kitanda?
 
ndiyo mkuu aweke soket karibia na kitanda
 
Mimi lazima niwe na extension cable chumani!!!
Napenda kitanda kiwe karibu na dirisha for fresh air.
 
Unazungumzia Vitanda vya zege au?
Manake nnavyojua vitanda vya zege ndio huwa havihamishiki, ila hivi vingine vinahama engo yoyote unayotaka kwahiyo unaposema umwambie fundi atengeze kiwe karibu na socket sijakuelewa... Au unamaanisha fundi umeme ndo aweke socket karibu na kitanda?
 
Kwahiyo socket ihamishwe sehemu iliyokuwa mwanzo na ipelekwe kilipokuwa kitanda???
Cable si zipo mkuu, shida yote ya nini
aahh tatizo unajiongeza sana hapo tunaashum kitanda hakiamishiki Na hamna extension nadhan ndo mtoa post assumptions
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom