ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,207
Hiyo ni indicator kuwa si hubby material; amesoma vitabu viiiiingiiiii mpaka vinampanikisha hovyo anashindwa kujenga hoja kwa utulivu. Afadhali angesoma kile kimoja tu cha ^How to Understand Women, Volum One^ kingemsaidia kugundua one crucial point kwamba the moment a gentleman akiargue na habiba, then he is poised to, or rather he has lost it all.
Ndugu yangu km unatongoza basi we tongoza tu...
Maana type km za huyo dada huna haja ht ya kumponda mwanaume mwenzako..
Yupo na stress za kugongwa hovyo ukienda Pm tu unachukua no. Unaenda kujigongea...
Haina haja ya kuwa mwanamke kupata mwanamke kuwa tu mwanaume kwa huyu sio hata mgumu.


