Nime breakup na mpenzi wangu kwaiyari yangu ila najiskia nahitaji mtu wakunijali na kunitimizia haja zangu kama mwanamke n am not that lonely ila kunawakati mida kama hii natamani ningekua na mtu ambaye nafsi yangu imeridhika nae lakini sio uyu Ex maana toka naingia nae kwenye mahusiano sikuipenda harufu ya mwili wake na mengi sana yaliyo kama kero kwangu ila nilijilazimisha kusonga mbele nikijua ata badilika n the worst part of it sikua naridhika kitandani yani huandaliwi na style ni moja tu n akili ni kojolea uko nlikua naskia kama kutapika vile yani kichefu chefu kile ambacho hakitoki ila hakuna mwenye mabaya tu bila mazuri na mazur yakwake yalikua mengi Ł mtanisamehe nauwandishi cm mbovu n sii taji ushauri ł As a Scorpion sign am just speaking my Mind bcoz i gat no where to dump my bullshits