Nime-break up na mpenzi wangu...

Nime-break up na mpenzi wangu...

Ni kweli, saikolojia pia inasema kuwa mwanamke anapokueleza tatizo lake hahitaji umsaidie, anataka tu atoe ya moyoni baaas!

Saafi, kwenye kile kitabu kikubwa cha 'understanding women' niko ukurasa wa 175300 lakini nimeambulia hili tu hadi sasa!
Maskini wee, ushakosea huhitaji kuwaelewa hawa viumbe we nenda nao tu kama kipofu muongoza njia ukitaka kuwaelewa ndivyo hutowaelewa
 
If you want to understand & be understood, dress up -- vazi liwe soaked ndani ya unassuming love. Put your logics aside and just love.
 
Maskini wee, ushakosea huhitaji kuwaelewa hawa viumbe we nenda nao tu kama kipofu muongoza njia ukitaka kuwaelewa ndivyo hutowaelewa
Hizi assumptions za wavivu wa kufikiri ndizo zinawaharibia mahusiano.
 
Hakuna mkuu, mapenzi hayana formula hii inaweza kuwork kwa huyu ukaiapply wewe ukafail, hakuna specific formula
Hiyo ni assumption nyingine ambayo wengi wanatumia kuhalalisha failures zao. Don't believe everything you hear or read.
 
Wewe unahisi mapenzi yana formula mkuu?
Siyo suala la "kuhisi" kama unavyodhani. Umeshajiuliza kwa nini mada ya mahusiano inafundishwa!??? Hivi inafundishwaje kama haina fomyula!??? Those who fail this mtihani ni wale wanaoanza kusolve wrong equation. Aliyegundua MAGAZIJUTO eikeiei BODMAS aliona mbali sana. Hakuna kitu kisicho na fomyula kwenye dunia hii. Hata kifo chenyewe kina fomyula yake matata tu.
 
Mimi napita tu
 
Attachments

  • 2616472_understanding-women-book-angle.jpg
    2616472_understanding-women-book-angle.jpg
    17.5 KB · Views: 6
  • Internet_20201122_101720_17.jpeg
    Internet_20201122_101720_17.jpeg
    6.9 KB · Views: 5
Nime breakup na mpenzi wangu kwaiyari yangu ila najiskia nahitaji mtu wakunijali na kunitimizia haja zangu kama mwanamke n am not that lonely ila kunawakati mida kama hii natamani ningekua na mtu ambaye nafsi yangu imeridhika nae lakini sio uyu Ex maana toka naingia nae kwenye mahusiano sikuipenda harufu ya mwili wake na mengi sana yaliyo kama kero kwangu ila nilijilazimisha kusonga mbele nikijua ata badilika n the worst part of it sikua naridhika kitandani yani huandaliwi na style ni moja tu n akili ni kojolea uko nlikua naskia kama kutapika vile yani kichefu chefu kile ambacho hakitoki ila hakuna mwenye mabaya tu bila mazuri na mazur yakwake yalikua mengi Ł mtanisamehe nauwandishi cm mbovu n sii taji ushauri ł As a Scorpion sign am just speaking my Mind bcoz i gat no where to dump my bullshits
engn

Tengeneza kwanza Simu, inawezekana hii meseji Sivyo ulitaka iende.
 
Back
Top Bottom