Babrajohanas_gummy
Member
- Oct 3, 2020
- 30
- 36
Nime breakup na mpenzi wangu kwa hiyari yangu ila najiskia nahitaji mtu wa kunijali na kunitimizia haja zangu kama mwanamke na am not that lonely ila kuna wakati mida kama hii natamani ningekuwa na mtu ambaye nafsi yangu imeridhika nae lakini sio huyu Ex maana toka naingia naye kwenye mahusiano sikuipenda harufu ya mwili wake na mengi sana yaliyo kama kero kwangu ila nilijilazimisha kusonga mbele nikijua atabadilika.
Na the worst part of it sikuwa naridhika kitandani yani huandaliwi na style ni moja tu na akili ni kojolea huko nilikuwa nasikia kama kutapika vile yani kichefu chefu kile ambacho hakitoki
Ila hakuna mwenye mabaya tu bila mazuri na mazuri ya kwake yalikuwa mengi.
Sihtaji ushauri ł As a Scorpion sign am just speaking my Mind bcoz i gat no where to dump my bullshits.