Kwann unasema sio sahh sanaKondomu siyo sahihi japo ni kwa kiasi Fulani. Chagua either mtoto wa kishua au wasakatonge kutokana na mapenzi yake ya kwi na dhati kabisa. Ukiendekeza ngono kwa kila unayemwona utaambulia vvu tu. Naimani ukipata vvu hutakuja hapa kuomba uahauri maana utaanza kuishi kwa kujidicha ficha. Take care. Dunia siyo ya mariamu
Sasa kumbe jawabu unalo etRange
kwahiyo wewe ndo una akili kubwa na uzi wako huu..!!!!!Naona wengi mnaotumia JF ni watu wenye akili ndogo sana
Hahaaa...ukishakuwa expert member utajutia siku moja kutoa sred kama hii trust me
mark my words
100%Hahaaa...
Mkuu ..Speaking from experience au?