lemme join u madame [emoji4] [emoji120]Ngoj nikalale
Watoto ikifika sa mbili muwe mmelala, huu Uzi gani, sis tunawajua hiyo michepuko yako,Habari za usiku wanajamii
Mimi ni kijana wa kiume Rijali Kabisa sasa imetokea nimependwa na Madem wawili na wote ni wazuri na wote nawapenda sasa mmoja ni mtoto wa kishua na mwingine ni wa fmilia ya wasakatonge wa kawaida tu.
Sasa ndugu zangu nishaurini nichukue yupi na niache yupi!
Naombeni nishaurini hasa kutokana na impact za kuwa ma mtoto wa maskini au mtoto wa tajiri!
Kwenye suala la dini wote ni wakristo! Naona hilo halitasumbua sana
Umri tumepishana miaka mi 4 yaan wote wawili
ukishakuwa expert member utajutia siku moja kutoa sred kama hii trust me
mark my words
jinga kabisa, usiku mwemaWakati huo CV imeshachafuka.
mmmhhwagegede kwanza alafu chukua alie mtamu zaidi,hawakawii kukugeuka hawa,,,piga miti vizuri
[emoji3][emoji3][emoji3]ukishakuwa expert member utajutia siku moja kutoa sred kama hii trust me
mark my words
Mshauri kwanza hayo mengine atayamaliza mbele kwa mbele.ukishakuwa expert member utajutia siku moja kutoa sred kama hii trust me
mark my words
me toolemme join u madame [emoji4] [emoji120]
[emoji14] [emoji7] its gonna be a hot sweet loooong night.. If u know what I mean [emoji6]me too