nimaneno yp hyo?????

nimaneno yp hyo?????

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
wakuu naomba niulize : nimaneno yap ambayo utamfanya mpenzi ajickie raha?

Na ni maneno yp ya kumsifia mpenz wk?

funguka !!!!!
 
'Nakupenda beby wangu ujue macho yako huwa yananitega sana!' Sasa kama ana macho kumchuzi ugomvi!
 
mmmh!!! watoto wa siku hizi? majanga baba na mama wanajua kweli kuwa uko hapa kuuliza maneno ya kumwambia mpenzi?
 
mwambie ukinywa maji unamuona kwenye grasi. ukienda choon unanuona kwenye shimo la choo. ukiwa na nyumba ndogo unamuwaza yeye. pia msifie kuwa umependa matege yake. na unapenda vile anavyopakia msosi.
 
Yale yatakayokujia kwenye hisia zako

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
waoooh!! inaonekana we ni fund xn Xhuxha mengn!!!!!! meng!!!
 
Watafurahi xn !!! kwaxababu wataona mwanao kakua!!!! ebu 2pia maneno matamu matamu
 
Wamatumbi husema: "Maneno matupu hayavunji mfupa"

Wazungu husema: "Actions speak louder than word"

Binafsi huamini kumtendea vyema mpenzi ni zaidi ya blah blah za bebi, hani, switihati n.k
 
It depends, kwa mfano akiwa mlevi we mwambie tu 'twende baa bebii!' akiwa mchamungu, muhamasishe ibada, atapenda kuskia hayo maneno, akiwa mroho mpe story za kulakula, akiwa mbea mpe umbea,........ nk.
 
Back
Top Bottom