Nilizaa na mwanamke mtoto wangu kapewa mume mwingine, nifanyeje?

Kama mnajidanganya hivyo sawa, ila mimi nifaamuvyo na nilichokiona kwa ndugu yangu ni kua baba alikosa mtoto kupitia mahakama sina haja ya kubishana na wewe hivyo huyo Dada akiamua kupambana apambane ampambanie mwanae hapo ndipo mahakamani ataikuta definition ya kuwa Baba, baba ni yule Mwanaume achukuae majukumu yake tangu kutungwa kwa mimba mpaka mtoto kuzaliwa na kumtunza lakini kama ulimwaga mbegu ukatimua unaambiwa timua mazimaaa
Sijidanganyi nina uzoefu wa ninaloandika.

Kila mtoto ana haki ya kupata matunzo kutoa kwa wazazi wake ; wazazi hao huenda wakawa wa kibaiklojia au waliomuasili (Adopt) kwa mujibu wa sheria na kila mtoto ana haki ya kumjua/kuwajua wazazi wake halisi.

Mleta mada akitaka kumpata mtoto wake atafungua shauri Mahakamani na kuitaka mahakama itoe amri ya kupima DNA na kukabidhiwa mtoto endapo vipimo vitathibitisha ni mtoto wake.

Baada ya kupima DNA mtoto anaweza kuendelea kuishi na mama yake (custody of the child) endapo inaonekana kuwa baba yake hawezi kumpa matunzo. Lakini tofauti na hapo lazima mtoto atapewa baba yake na yule baba fake atakuwa na haki ya kudai fidia ya matunzo tu.

Huyo ndugu yako aliyeshindwa kesi akate rufaa kama bado muda una mruhusu.
 
Unafahamu kua kuwa baba si kutungisha mimba tu? Maana hats kichaa anatungisha mimba ila haitwi baba, sasa nakwambia mimi Dada yangu yalimkuta hayo ya kukataliwa ujauzito na baadae mwanaume alipoona mtoto mkubwa akaja akamdai, wakapelekeshana ustawi wa jamii mpaka mahakamani na mahakama iliamua kumpa haki mama maana mwanaume alikataa majukumu ya utunzaji mimba mpaka mtoto! Ukweli ni kwamba kutungisha mimba haitoshi kumfanya MTU aitwe baba, kuwa baba ni kuchukua majukumu yote from conception mpaka makuzi yake, ndio maana nakwambia huyo Dada akipata mwanasheria mzuri hiyo kesi atashinda tatizo la watanzania wengi tunaishi kwa hisia na kudhahania au bado watu mnadhani hata mkikimbia mkirudi basi mtapewa tu watoto
Huwezi kusema unamlipa gharama zake, je unajua huyo mtoto tangu kuzaliwa aliugua mara ngapi? Na alimsumbua kiasi gani huyo baba mlezi kwa kumuuguza wakati wewe unafanya starehe zako? Na je Kipindi cha mimba unafahamu Huyo baba mlezi wa mtoto alitumia gharama gani(muda na fedha) kuhakikisha kwamba iyo mimba inaleta matokeo ya mtoto mnayemgombania?
 
Kama unachozungumzia ni custody ya mtoto hiyo anaweza kupewa mzazi yoyote kati ya baba au mama na si baba fake.(Rejea bandiko langu lililopita).Kama mtoto anayegombaniwa akipangiwa kuishi kwa mama yake na mama yake kaolewa na mtu mwingine asiye baba yake haina maana kuwa baba huyo wa kufikia kapewa haki ya mtoto bali wanaishi nyumba moja tu .

Kwa mujibu wa maelezo yako, kesi yako; mama wa mtoto alipewa custody (mtoto awe kwenye himaya yake) na si kwamba mtoto alikabidhiwa kwa mumewe ambaye si baba wa mtoto na wala Mahakama haiwezi kumkataa baba halali wa mtoto kama DNA imethibitisha hilo hata kama hakutunza mimba wala mtoto.

Usizungumze kwa hisia, sheria haimpi mtoto baba asiye mzazi wa mtoto huyo eti kisa kamlea. Kwa kesi yako nadhani mtoto alibaki kwa mama yake kama custodian na hakupewa huyo mumewe aliyemlea huyo mtoto.

Hakuna sheria ya kumpa mtoto baba fake kwa sababu tu amelea mimba na kutunza mtoto. Sahau hicho kitu.

Baba halali wa mtoto ataendelea kuwa halali mbele ya macho ya sheria. Hata kama mtoto yupo chini ya uangalizi wa mama yake baba yake lazima apewe haki ya kumuona labda tu kama itathibitika kuwa kitendo cha kuruhusiwa kumuona mtoto kinaweza kuhatarisha salama wa mtoto.
 
Sizungumzii hilo na sitaki kubishana tena,eti sheria haimuangalii baba mlezi inamuangalia baba halali kwa uhalali upi alionao? Wa kutungisha mimba na kukimbia? Ninachokwambia kipo na kimetokea na mtoto mpaka hii Leo anatumia jina LA adopted father ,only wanawake wajinga wajinga ndio watakubali kutoa watoto zao kwa midume suruali
 
Kama mnajidanganya hivyo sawa, ila mimi nifaamuvyo na nilichokiona kwa ndugu yangu ni kua baba alikosa mtoto kupitia mahakama sina haja ya kubishana na wewe hivyo huyo Dada akiamua kupambana apambane ampambanie mwanae hapo ndipo mahakamani ataikuta definition ya kuwa Baba, baba ni yule Mwanaume achukuae majukumu yake tangu kutungwa kwa mimba mpaka mtoto kuzaliwa na kumtunza lakini kama ulimwaga mbegu ukatimua unaambiwa timua mazimaaa
Tatizo kubwa sisi wanaume walio JF bado tupo makinda na tunajibu kutoka vichwani mwetu bila tafiti au uzoefu. Umenena kweli kwani baada ya DNA test huwa kuna kesi ya pili ya mtoto awe katika uangalizi wa nani. Hapo ndipo mama mtoto atamshinda maana tangu mimba amehangaika naye which means anaweza kuendelea. Ningekuwa ni jamaa ningejenga urafiki na dume mwenzangu nikaisaidia familia yote ili wangu naye apone au apitie kwa ndugu wa ke aidha anaweza kuanza kula k ya huyu mama ili amuweke karibu
 
Mkuu mtoto hukumtunza unaanza kulialia hapa eti unamtaka mwanao!, shame on you, ww ulidhan mtoto atakuwa kama ndege bila kuhudumiwa? Mwachie aliyelea. Tafuta mwanamke mwingine uzae nae kisha umtumze mtoto ndio utakuwa na uchungu nae. Hukutoa matunzo yoyote kwa mtoto unakuja kujifanya una uchunga sasa.
 
Kwa taarifa zote kusambaa hivyo... kijijini, kwa wazazi, kwa ndugu zake huyo mwanaume hajui tu kama huyo mtoto siyo wake?
 
Sizungumzii hilo na sitaki kubishana tena,eti sheria haimuangalii baba mlezi inamuangalia baba halali kwa uhalali upi alionao? Wa kutungisha mimba na kukimbia? Ninachokwambia kipo na kimetokea na mtoto mpaka hii Leo anatumia jina LA adopted father ,only wanawake wajinga wajinga ndio watakubali kutoa watoto zao kwa midume suruali
Kwa faida yako LadyAj, mleta mada na wengine. Nimewawekea vifungu vya sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 vinavyompa mtoto haki ya kulelewa na mzazi /wazazi wake, haki ya baba wa mtoto Baada ya mahakama kuthibisha kama ni mwanaye, matunzo baada ya vipimo na ulezi wa mtoto.

Baba wa mtoto akishathibitishwa na mahakama ataanza mara moja kuanza kuwajibika kwa matunzo ya mtoto, baba atakuwa na haki ya kumpa mwanaye dini yake na kurithi kama vile mtoto aliyezaliwa ndani ya ndoa.

Tazama Kifungu cha 7,34,35,36,37 na 38 hapo chini :-

Screenshot_20170324-003628.png
Screenshot_20170324-004306.png
Screenshot_20170324-004432.png
Screenshot_20170324-004453.png
Screenshot_20170324-004604.png
Screenshot_20170324-004651.png

Kama una swali uliza, sio mbaya siku moja moja kutoa ushauri wa kisheria bure.
 
Hili suala wala sio gumu kiviile,

Ongea na wazazi wa huyo binti, uko tayar kumchukua mwanao na kumlea instead uko tayar pia kuwapa mtaji wa maisha mama wa huyo mtoto na mumewe ili wasipate taabu mbelen, hapo watafutie 2M kianzio waangalie cha kufanya then baadae waongeze 2M utakuwa umemaliza kila kitu!

Kwa ugumu wa maisha waliyonayao watakubali, na ukimuhakikishia mwanaume kuwa hutotoka na mkewe atakubali tu
 
Watu wanatoa mapooovu wakati Jamaa ameomba ushauri. Kwani ukimtusi ndiyo utakua umemsaidia nini, unafiki kwanza wengi wa mnaopost matusi nahisi mtakua either mmetupa watoto(madada/makaka wa watoto wa watoto waliokufa). Nani asiye kosea hapa duniani au mnajiona malaika nyinyi mpeni Jamaa ushauri anamtaka mtoto wake(damu yake) kama una mizuka pita iv siyo lazima ukoment. Unapoteza muda kuandika matusi ili iweje
 
Acha sound nje ya nchi wapi kusikokuwa na mawasiliano?! Halafu hata wewe sio mtoto wako maana angekuwa wako ungejiamini kuwa una uwezo wa kutia mimba hivyo usingelilia mtoto maana ungekuwa na uhakika kuwa ungetafuta mwanamke mwengine ungemzalisha.
Kwakuwa una uhakika na kiume chako ndio maana unalialia kama umeambiwa utapewa kesi ya ngada.
yaweza kuwa hujaelewa nilichomaanisha lkn pia nashukuru kwa mchango wako.karibu mkuu
 
Watu wanatoa mapooovu wakati Jamaa ameomba ushauri. Kwani ukimtusi ndiyo utakua umemsaidia nini, unafiki kwanza wengi wa mnaopost matusi nahisi mtakua either mmetupa watoto(madada/makaka wa watoto wa watoto waliokufa). Nani asiye kosea hapa duniani au mnajiona malaika nyinyi mpeni Jamaa ushauri anamtaka mtoto wake(damu yake) kama una mizuka pita iv siyo lazima ukoment. Unapoteza muda kuandika matusi ili iweje
asante kwa kuliona hilo,watu wanadhani mitandao yote ya kijamii ipo kwa ajili ya upuuzipuuzi tu,hawafahamu kama ni sehemu ya kukusanyika na kushauriana yaliyo bora zaidi,nashukuru yupo mtu amabaye amenishauri hapa na nimeweza kufuata ushauri wake na nimeona mwanga katika ninalolikusudia kufanya.
 
Wakuu habari za usiku,

Nahitaji msaada wenu wa ushauri,

Miaka minne iliyopita nilimpa mwanamke fulani ujauzito mkoani Tanga, kutokana na pilikapilika zangu utafutaji kipindi hicho sikuweza kumhudumia kwa chochote maana nilikuwa mbali nje ya nchi na hatukuwa na mawasiliano na nilimuacha na mimba ya miezi 4.

Kuna siku moja baada ya miezi 2 kupita alikutana na rafiki yangu akamuambia "mwambie rafiki yako huyu mtoto nitampa mtu mwingine yeye kama ameamua kunikimbia atakuja kujuta"

Baada ya rafiki yangu kuniambia yale ndyo nikapata namba ya mwanamke huyu lakini nilipokuja kuongea nae akaniambia eti mtoto amempa mume wake waliyeachana kabla ya kukutana na mimi, akadai alipoona maisha magumu akamfuata jamaa akamkazia alipomuacha alimuacha na ujauzito na jamaa akakubali kwahiyo mimi nitulie nisimletee vurugu kwani damu yangu haipotei mtoto atanitafuta hata ukubwani na akabadilisha namba ya simu sikumpata tena.

Now nimerudi home Tz na ninamtaka mwanangu, Mwanza nimeamua kujenga katika mji ambao ndipo tulipokutana na akapata mimba hiyo, nimenunua eneo kwa watu ambao wanatujua vyema mimi na yeye nikajenga kakibanda, yule mtoto sasa ni mkubwa wa kuanza hata chekechea akajua a e i o u lakini anaishi mazingira magumu sana, mtoto ni copy yangu kabisa hata watu waliponiona tu naingia siku ya kwanza walisema daah jamaa kama umebandika sura yako kwa yule mtoto kuonesha jinsi gani anafanana nami.

Nikaenda kwa wazazi wa mwanamke huyu baba na mama yake wakaniambia kuwa ni kweli hayo wanayafahamu lakini wakaniomba sana kuwa haya mambo niyaache kwani wao wanaogopa aibu kijjini maana mtoto wao kashaolewa na mtu mwingine na anajua yule ni mwanae mpaka kadi ya clinic ina jina lake huyo mwanaume hivyo itakuwa ni aibu kwao kama wazazi na mtoto wao ataachwa, mwishowe wakaniambia kama nikitaka kufanya hivyo basi niwe tayari kumuoa mtoto wao, bahati mbaya nimeshaoa tayari.

Wakuu nimekuwa naumizwa sana na hali ya mtoto, bila shaka najua ni wangu, amefikia umri wa kusoma lakini hakuna mwenye habari na umuhimu wa elimu, mtoto ana mazingira magumu maisha yao ni ya dhiki sana hufikia wakati hata msosi hawapati, nguo zake zimechakaa sana na za ovyovyo, nimejaribu japo niwe namuhudumia kwa siri kupitia wao babu na bibi yake wamekataa wanadai mkwe wao atahojihoji sana na atajua.

Katika maisha yangu nina kila kitu kinachonipa furaha maishani mwangu lakini hili la mtoto linanifanya kila siku nalia machozi na hata nikifurahi nikilikumbuka hili amani ya moyo hukosekana.

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, je kuna hatua zozote za kisheria naweza chukua kumpata mtoto yule? Wakati mwingine nafikiria nimwite yule mume wake aliyempa mtoto wangu nimchane live lakini napata moyo wa huruma nitamuharibia ndoa yake. Wakati mwingine nafikiria kumuiba mtoto, lakini naogopa kuvunja sheria ila mwanamke huyu niliyezaa nae karibu asilimia90 ya ndugu zake wa kike wananitambua kama mimi ndiye baba halisi.

Nifanyeje jamani niweze kumpata mwanangu na nimsaidie aweze kusoma na kuishi kwenye mazingira ninayotamani?

USHAURI WAKO NI MUHIMU SANA KWANGU MKUU USIPITE TU TAFADHALI.

asee mkuu hapo unawakati mgumu sana.

play your card well naumwombe Mungu akupe hekima lasi hivyoo damu inaweza mwagika.
 
Ulikimbia majukumu,uliharibu maisha ya mwanamke,ameamua vingine muache na maisha yake,UGUMBA WAKO UNAKUFANYA UJUTE KUPOTEZA MTOTO.
bado ni kijana nina 25 yrs,na nina watoto 2 kwa mke wangu wa sasa pia si mgumba,lakini nikiwa kama kijana ninayejitambua nakutambua kuwa ile ni damu yangu nina wajibu wa kuweza japo kumsaidia tu yule mtoto aweze kuwa katika mazingira mazuri
 
Back
Top Bottom