Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Nimekuelewa ila nifafanulie kidogo hapo kwenye kulifanyia kazi ni kulifanyiaje?
Maana mimi naona hata hivi kukuuliza ndio nimeanza kulifanyia kazi.
Kuhusu kulijua nia yangu ni ili niweze kuisadia jamii kwa ukubwa kama vile hilo jina lilivyo kubwa
Unafahamu Qur'an ina harufi Alif Lam Mym zinaanza kwenye sura ngapi?

Anza kufanyia hilo kazi ulete jibu.
 
Kwasabu nalipika ndo Biashara yangu ana jinn wake mmoja analipenda biryani langu nikipika anakula ana sifu sana hata akiwa na wageni naitwa nikapike 😁ndo maana nikamchomekea.
Dada hizo za kushirikiana na majini ni shirki tu ata mtetee vipi

Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashet'ani

Wanamshukia kila mzushi mkubwa mwingi wa dhambi.

Wanawapelekea yale wanayo yasikia; na wengi wao ni waongo.


Hivi ndo mafundisho ya quran yanavotwambia
 
Nyie watu embu kasomeni kwanza maana ya Shirk aisee halafu ndo uje u comment.halafu mashetani sio majini wapo masheitwan watu na majinn.
 
Kwa kusoma comment zako tu seems Wewe ni mswahili Swahili wale wa kuchamba wenzao sana afu mbeaa.
 
Sawa, inatakiwa some sana na anachosoma aelewe kutofautisha ni ni cha Allah au cha binaadam?

Duniani kuna elimu za binadam, juna elimu za majini, kuna elimu kubwa kuliko zote, ya Allah, watu wengi wametia mambo yao kwenye elimu ya Allah lazima ajue kutofautisha.
 
Kuna maswali yangu sijajibiwa nimeuliza au niwe na subra ☺
 
Nipo hapa Mkuu Arsis kupata muongozo sahihi maana hao watu siwawezi kwa lolote ila Mimi haki yangu naitaka. Najua nafuatiliwa sana mpaka mtaani. Roho inaniuma kwanini wale jasho la Mnyonge kama Mimi wakati wao wana kila kitu wanachokitaka?
Usiwe na wasiwasi, Inshaallah kitu chako kitakua sawa. Hapa kuna watu watakusaidia sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…